Hongera acha mambo ya kuramba ramba Afya ni kitu muhimu sana mkuu. Asante kwa feedback zako.Yote ni Matokeo ya tabia yangu ya kupenda rambaramba..mwishowe nikaangukia balaa... koo langu likawa ambushed hata kuarestiwa na wale wadudu
lakini nikaamua kumwambia Dk wangu MziziMkavu, nae bila kinyongo akanielekeza tiba mbadala
mpaka sasa sina wasi tena na wadudu wakali, naramba kila kitengo ninachotaka...maana dawa naijua
shukrani za dhati zimwangukie Dk huyu
Mungu ampe heri na maisha marefu, amina
.............
mpaka sasa sina wasi tena na wadudu wakali, naramba kila kitengo ninachotaka...maana dawa naijua
Nimekumbuka ile mada yako ya koo. MziziMkavu amekuwa msaada sana kwa wengi humu, ingawa katika ile mada kuna mtu alimshambulia sana.
We ndugu ni balaa, unanithibitishia kwamba, kama kungekuwa na dawa ya ukimwi, basi ngono zingekuwa nje nje iwe mchana au usiku, yaani zaidi ya Sodoma na Gomora.
Watu wameshindwa kuyaamini makanisa (MUNGU) sembuse MZIZI MKAVU? au wewe binadamu unawachukuliaje au unataka siku umpige mawe?teh teh teh mkuu sina wasiwasi kuhusu ukimwi, navutavuta ka mda naenda kupima nikiwa na tabasam lenye bashasha...maana Dkt wangu MziziMkavu aliniambia anayo dawa ya ukimwi
maisha sasa yamekosa stress
Mkuu DZUDZUKU Makanisa na Misikiti ni Sehemu zaWatu wameshindwa kuyaamini makanisa (MUNGU) sembuse MZIZI MKAVU? au wewe binadamu unawachukuliaje au unataka siku umpige mawe?
Mkuu DZUDZUKU Makanisa na Misikiti ni Sehemu za
Waumini kufanyia mambo ya Ibada sio sehemu za kwenda kujitibia. Wachungaji wamepata advantage kuwatapeli na
kuwaibia Waumini kwa kisingizio cha kumtaja Bwana YESU kuwa anatibu maradhi yote ni uongo na kiini macho watu
wakiumwa bora waende Hospitali kujitibia kuliko kwenda kwa Wachungaji wanaowa tapeli waumini kwa kusema wana
uwezo wa kuponya wameupata wapi huo uwezo? Makanisani na Misikitini ni nyumba za kufanyia Watu ibada sio nyumba za kuwatibia
watu wagonjwa acha maneno yako ya Pumba hayo mimi nimempa Ushauri na akapona na aliye mponyesha ni Mwenyeezi
Mungu sio mimi, mimi ni Sababu ya kupona kwake.
Allah Has Not Revealed A Disease Without Treatment.... (Prevention is Better Than Cure)
Alikuwa ana ramba utupu wa mwanamke ndio akapata maradhi ya koo kuwa na vidonda vya kooni na angelichelewa angepata Kansa ya koo..Ulikuwa unaramba ramba niniii mkuu
dina nawe....haujui uzamiaji ww!!
Nilimpatia Mkuu Majigo dawa hii hapa angalia picha siwezi kuitaja jina.Sawa Dr.mzizimkavu Huyo jamaa alitumia dawa gani
nilimpatia mkuu majigo dawa hii hapa angalia picha siwezi kuitaja jina.