Dr Nchimbi atakuwa ni Mgombea Mwenza wa Kwanza wa CCM mwenye Historia Pana Kisiasa na anayefahamika Nchi nzima!

Dr Nchimbi atakuwa ni Mgombea Mwenza wa Kwanza wa CCM mwenye Historia Pana Kisiasa na anayefahamika Nchi nzima!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kwa Mara ya kwanza tangu mfumo wa Vyama Vingi uanze Mgombea Mwenza wa kupigiwa Kura za Wananchi atatoka Tanganyika

Makamu wa Rais wa Sasa Dr Mpango aliteuliwa na kuthibitishwa na Bunge

Dr Nchimbi amekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa hivyo Tanzania nzima inamfahamu

Dr Nchimbi amekuwa Mbunge hivyo anajulikana na Taasisi zote

Dr Nchimbi amekuwa Waziri wa Mambo ya ndani hivyo anajulikana Kote Kote

Dr Nchimbi amekuwa Balozi hivyo Dunia yote inamjua

Dr Nchimbi ni Katibu mkuu wa CCM hivyo Wanasiasa wote wanamjua

Dr Nchimbi amezuru Vatican na kukutana na baba Mtakatifu Papa Francisco aketiye kitini pake Mtume Petro na kupata Baraka zake hivyo Kanisa Moja Takatifu la Mitume duniani kote linamjua

Itakuwa na manufaa makubwa Kwa Taifa kuwepo kwake Kwenye Safu ya Uongozi wa juu

Dominica NJEMA 🌹
 
  • Thanks
Reactions: Ame
wa kutoka kambi ya Lowasa, na ambaye amewahi kupewa KARIPIO KALI na CCM hio hio kwa kuonyesha tu upande wake kisiasa
 
Na atakuwa wa kwanza kuangukia pua kwenye uchaguzi ktk historia ya Tanzania
 
Back
Top Bottom