Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Mantiki ya kuwaza kuwa ni 'dongo kwa Samia' umeitoa wapi?Mwishoni kasema "mpaka utashi wa raisi. "
Hilo ni dongo kwa samia kwamba kwa sasa anaonekana ndie kizingiti
Chawa wahedi with zero credibility, usitupotezee muda please 👎Kama Rais na Mwenyekiti wa CCM, Dr. Samia anataka Katiba mpya, Makamu wa Rais anataka Katiba mpya, sasa ni nani anapinga Katiba mpya kiasi cha Makamu wa Rais Dr Nchimbi kuwataka wananchi wapambane kudai katiba mpya?.
Angalau sasa tunajua ni nani aliyechomekeza kwenye Ilani ya CCM agenda ya Kuandika katiba Mpya. Ambacho ameniacha mdomo wazi ni kuhusu:
1. Nani hataki katiba mpya pale CCM na serikalini kama Rais na Makamu wake wanataka Katiba mpya?
2. Kama mwenyekiti wa CCM anataka Katiba mpya nani pale CCM hataki Katiba Mpya?
3. Wananchi wapambane dhidi ya nani ili wapate Katiba mpya?
4. Wananchi wapambaneje ili kuwazidi nguvu hao wasiotaka katiba Mpya?
5. Tunataka Katiba mpya nzuri kama ya taifa gani Afrika ili tuone wao ni bora kiasi gani wapi kuliko sisi?
6. Je, ubaya wa Katiba hii ya 1977 ni nini?
Nionavyo mimi kama mimi, watu wetu, uchumi wetu, uelewa wetu, kiwango cha elimu cha watu wetu, mila na ustaraabu wetu kupanua kiwango cha demokrasia na haki za watu wetu kuliko hivi tulivyo sasa kutaenda kulitumbukiza taifa kwenye migogoro mingi itakayoidumaza Tanzania. Tunakwenda kutanua uchochoro ambao wakoloni watapitia kuichukua tena Tanzania.
Mwl. Nyerere alikataa kuruhusu wazungu kuchimba sana madini yetu kwakuwa alikuwa anawafahamu watu wake kuwa hawakuwa na utaalamu wa kuyachimba wala elimu ya kujadiliana kuhusu mikataba ya uchimbaji. Watu wetu hawa wengi wao bado hawana uelewa mpana kuhusu demokrasia na haki. Bado kuna maeneo watu wanaona ni haki kwa mwanamke kunyimwa kumiliki hiki na kile, bado mpaka leo kuna watu wanaamini viungo vya binadamu vinaleta utajiri kwa njia za giza. bado kuna watu asubuhi kabisa wanakunywa pombe na kucheza pool siku za kazi.
Sipingi kuandika katiba mpya lakini Makamu Rais Dr Nchimbi ndiye aliyeniogopesha zaidi.
View: https://youtu.be/Y30BPBHftaE?si=E11qcCE9cMml3Wfw
SAbabu kubwa ni Urais 2030, kampeni zinaanza sasa.Mantiki ya kuwaza kuwa ni 'dongo kwa Samia' umeitoa wapi?
Kuna jambo Nchimbi anaweza kulifanya against samia?
Haujawahi sikia mtu na mkewe wanapanga njama za fumanizi kwa mbaya wao, yaani mke ashikishwe ugoni ili kumkomoa mbaya wao huku mahusiano yao yakiimarika?
Ndicho kinachofanyika hapa.
Picha la nje lionekana kuna masigano ndani ya kaya, kumbe ni mfarakano bandia wa kupangwa ili kufikia lengo flani, ni usanii kindaki ndaki huu!
Kichwa chake kimekaa upande kama koti lake.Hii takataka ni ya kutia kiberiti kabisa View attachment 3636251
Kumbuka kabla ya kuwa Makamu wa Rais, alikuwa Balozi kisha Katibu Mkuu wa CCM. Kwa hiyo ni mtu mwenye taarifa nyingi nyeti ndani ya chama chake na serikali yake.Kama Rais na Mwenyekiti wa CCM, Dr. Samia anataka Katiba mpya, Makamu wa Rais anataka Katiba mpya, sasa ni nani anapinga Katiba mpya kiasi cha Makamu wa Rais Dr Nchimbi kuwataka wananchi wapambane kudai katiba mpya?.
Angalau sasa tunajua ni nani aliyechomekeza kwenye Ilani ya CCM agenda ya Kuandika katiba Mpya. Ambacho ameniacha mdomo wazi ni kuhusu:
1. Nani hataki katiba mpya pale CCM na serikalini kama Rais na Makamu wake wanataka Katiba mpya?
2. Kama mwenyekiti wa CCM anataka Katiba mpya nani pale CCM hataki Katiba Mpya?
3. Wananchi wapambane dhidi ya nani ili wapate Katiba mpya?
4. Wananchi wapambaneje ili kuwazidi nguvu hao wasiotaka katiba Mpya?
5. Tunataka Katiba mpya nzuri kama ya taifa gani Afrika ili tuone wao ni bora kiasi gani wapi kuliko sisi?
6. Je, ubaya wa Katiba hii ya 1977 ni nini?
Nionavyo mimi kama mimi, watu wetu, uchumi wetu, uelewa wetu, kiwango cha elimu cha watu wetu, mila na ustaraabu wetu kupanua kiwango cha demokrasia na haki za watu wetu kuliko hivi tulivyo sasa kutaenda kulitumbukiza taifa kwenye migogoro mingi itakayoidumaza Tanzania. Tunakwenda kutanua uchochoro ambao wakoloni watapitia kuichukua tena Tanzania.
Mwl. Nyerere alikataa kuruhusu wazungu kuchimba sana madini yetu kwakuwa alikuwa anawafahamu watu wake kuwa hawakuwa na utaalamu wa kuyachimba wala elimu ya kujadiliana kuhusu mikataba ya uchimbaji. Watu wetu hawa wengi wao bado hawana uelewa mpana kuhusu demokrasia na haki. Bado kuna maeneo watu wanaona ni haki kwa mwanamke kunyimwa kumiliki hiki na kile, bado mpaka leo kuna watu wanaamini viungo vya binadamu vinaleta utajiri kwa njia za giza. bado kuna watu asubuhi kabisa wanakunywa pombe na kucheza pool siku za kazi.
Sipingi kuandika katiba mpya lakini Makamu Rais Dr Nchimbi ndiye aliyeniogopesha zaidi.
View: https://youtu.be/Y30BPBHftaE?si=E11qcCE9cMml3Wfw
Hujajibu swali, hadi hizo points nilizokupa bado huoni uzezeta wako kusema katiba hii chakavu ina mapungufu mengi?Upinzani kuna mazezeta ambayo muda wao wa kwenda Ikulu bado kabisa,
CCM ndio kuna akili?wacha wapate kwanza watu wenye akili. Nchi hii hakuna anaeshindwa kutoboa kwasabu ya Katiba.
Tungelikuwa kwenye kikao cha 'mkutano wa hadhara' kuna watu wangelikuwa wanatoka na ngeo waalah😁😆.Chawa wahedi with zero credibility, usitupotezee muda please 👎
Mimi ni muumini wa mabadiliko lakini yale tunayoyaita planned change. Aina hii ya mabadiliko yanafanyika kwa kutumia takwimu (evidence based change) kutoka kwenye mazingira yanayokuzunguka yanayofanana na yako (benchmarking). Yaani unataka kufanya mabadiliko kwasababu gani yanayofanana kama ya nani mwenye mazingira kama ya kwangu?. Je, ninaetaka kumuiga ana hali nzuri kiasi gani kwenye nini iliyosababishwa na mabadiliko ninayotaka kuyafanya?Kumbuka kabla ya kuwa Makamu wa Rais, alikuwa Balozi kisha Katibu Mkuu wa CCM. Kwa hiyo ni mtu mwenye taarifa nyingi nyeti ndani ya chama chake na serikali yake.
Anatambuwa misimamo binafsi ya wahafidhina waliopo ndani ya chama chake, na misimamo yao jinsi inavyokigharimu chama chake, serikali, na maslahi ya nchi kwa ujumla.
Kutofautiana maono na misimamo kwa viongozi ni jambo lenye afya. Lakini ndani ya utawala wa sasa wa CCM ni dhambi kubwa sana. Katika Ibada ya kipagani ya CCM, ni mwendo wa kusifu na kuabudu kinafiki tu.
"Constructive or critical thinking" haina tena nafasi ndani ya chama. Hata kama mfalme kakaa uchi mbele ya hadhara, hakuna mwenye uthubutu wa kumwambia juu ya aibu yake.
Sikia, acha janjajanja. Tunataka Katiba Mpya na sote tunamjua anayeikwepa!!Kama Rais na Mwenyekiti wa CCM, Dr. Samia anataka Katiba mpya, Makamu wa Rais anataka Katiba mpya, sasa ni nani anapinga Katiba mpya kiasi cha Makamu wa Rais Dr Nchimbi kuwataka wananchi wapambane kudai katiba mpya?.
Angalau sasa tunajua ni nani aliyechomekeza kwenye Ilani ya CCM agenda ya Kuandika katiba Mpya. Ambacho ameniacha mdomo wazi ni kuhusu:
1. Nani hataki katiba mpya pale CCM na serikalini kama Rais na Makamu wake wanataka Katiba mpya?
2. Kama mwenyekiti wa CCM anataka Katiba mpya nani pale CCM hataki Katiba Mpya?
3. Wananchi wapambane dhidi ya nani ili wapate Katiba mpya?
4. Wananchi wapambaneje ili kuwazidi nguvu hao wasiotaka katiba Mpya?
5. Tunataka Katiba mpya nzuri kama ya taifa gani Afrika ili tuone wao ni bora kiasi gani wapi kuliko sisi?
6. Je, ubaya wa Katiba hii ya 1977 ni nini?
Nionavyo mimi kama mimi, watu wetu, uchumi wetu, uelewa wetu, kiwango cha elimu cha watu wetu, mila na ustaraabu wetu kupanua kiwango cha demokrasia na haki za watu wetu kuliko hivi tulivyo sasa kutaenda kulitumbukiza taifa kwenye migogoro mingi itakayoidumaza Tanzania. Tunakwenda kutanua uchochoro ambao wakoloni watapitia kuichukua tena Tanzania.
Mwl. Nyerere alikataa kuruhusu wazungu kuchimba sana madini yetu kwakuwa alikuwa anawafahamu watu wake kuwa hawakuwa na utaalamu wa kuyachimba wala elimu ya kujadiliana kuhusu mikataba ya uchimbaji. Watu wetu hawa wengi wao bado hawana uelewa mpana kuhusu demokrasia na haki. Bado kuna maeneo watu wanaona ni haki kwa mwanamke kunyimwa kumiliki hiki na kile, bado mpaka leo kuna watu wanaamini viungo vya binadamu vinaleta utajiri kwa njia za giza. bado kuna watu asubuhi kabisa wanakunywa pombe na kucheza pool siku za kazi.
Sipingi kuandika katiba mpya lakini Makamu Rais Dr Nchimbi ndiye aliyeniogopesha zaidi.
View: https://youtu.be/Y30BPBHftaE?si=E11qcCE9cMml3Wfw
Sikuwai kufikiria jamaa una mawazo ya kiwango cha chini kiasi hiki.Kama anasema mawaziri na kila mtu akiwemo yeye mawazo yao kwenye vikao ni ushuri tu kwa Rais maana yake kikwazo cha Katiba ni Rais Samia. Hata kupambana anakoagiza watu wapambane ni dhidi ya Rais mfanya maamuzi mkuu. Walimchomekea agenda ya Katiba kwenye Ilani.
Kama sio uwepo wa Katiba hii serikali hii ingeshapinduliwa siku nyingi zilizopita na hata yeye asingekuwa Rais wa nchi hii. Ndio maana marais wote walikwepa swala la Katiba. Mzee wa Msoga karibu yamtokee puani alipojaribu kuigusa.
Kama mimi ningekuwq mshauri wake ningemshauri aachane nayo yeye kama Rais mwanamke wa kwanza nchini.
Ana akili nyingi sana huyu mzee. Huwezi kumlinganisha na huyu ambae haeleweki majukwaani. Unaposema endelea kupambana mpate Katiba maana yake unasema chomeni tena nchi hadi mpate katiba. Kuna haja ya kuongeza bajeti ya kuongeza manunuzi ya risasi kukabiliana na ongezeko la watakaochoma tena.Kichwa chake kimekaa upande kama koti lake.
ACheni janjajanja, hii Katiba ilikuwepo tabgu mwaka 1977 na Samia kaja mwakwa 2022. Tunaijua hiyo. Wacha tuongeze bajeti ya risasi kupambana na wakora kama nyie. Jitoeni ufahamu mkachome tena. Kwanza tunajua kuwa hamkutaka awe Rais tangu mwanzo, hizi nyingine ni ngonjela tu.Sikia, acha janjajanja. Tunataka Katiba Mpya na sote tunamjua anayeikwepa!!
Na tunajua ni kwanini anaikwepa Sasa!!
Uhuru na RASILIMALI za nchi zinatakiwa kulindwa na Katiba!! Uhuru haupo na Rasilimali za Taifa kapewa Mwarabu!!
Kipande Cha nchi kimetumbukia Mikononi mwa Wageni, leo Ngorongoro siyo yetu tena!!
Usijitoe akili kwa Kutuletea Hekaya za Alinacha!! Unamjua sana anayeikataa Katiba!!
Nchimbi ni Namba mbili kwa Mamlaka hapa Tanzania!! Sasa hata kwa akili tu za kuvunia viazi unaweza kujua tatizo lipo!!
Au unataka mpaka Elon Musk ndo aje akufungue akili?
Huna akili ya kunizidi mm wewe, hata kwa robo tu, unaendeshwa na mkumbo, mm sina upande wowote naongea facts tu kwakutumia uelewa wangu na uzoefu wangu tu baaasi.Sikuwai kufikiria jamaa una mawazo ya kiwango cha chini kiasi hiki.
Kweli ukitaka kujua uwezo wa akili ya mtu acha aongee.
Wewe unawaamini hao?1. Nani hataki katiba mpya pale CCM na serikalini kama Rais na Makamu wake wanataka Katiba mpya?
2. Kama mwenyekiti wa CCM anataka Katiba mpya nani pale CCM hataki Katiba Mpya?
3. Wananchi wapambane dhidi ya nani ili wapate Katiba mpya?
Tunaongozwa na vichaa!Kama Rais na Mwenyekiti wa CCM, Dr. Samia anataka Katiba mpya, Makamu wa Rais anataka Katiba mpya, sasa ni nani anapinga Katiba mpya kiasi cha Makamu wa Rais Dr Nchimbi kuwataka wananchi wapambane kudai katiba mpya?.