M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Napenda kumshauri Dr. Ndalichako wa NECTA agombee uraisi kupitia chama atakachopenda yeye 2015 maana kwa muda mfupi aliokaa NECTA ameondoa mtandao wa wauza mitihani na kuwashikisha adabu wanafunzi wanaotegemea pepa za kuiba toka NECTA. Sasa huyu ndo tunafaa tumpe urais anyooshe kina MWI-GU-LUA na kina KINANDA. Kwi kwi kwi!!!