CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
Dr. Ndalichako, ona sasa mtoto wa watu bado anaandamwa. Kumbe wanafuatilia Form five kaenda wapi, KISA ni kutoa matokeo ya mitihani kwa kutumia majina ya watoto wetu, badili mfumo weka namba za watahiniwa na si kwa vile anayeandamwa ni mtoto wa mkubwa, la hasha, natural justice dictates that!!!!. Matokeo ya mitihani ni personal and not public privilege