Dr. Ndalichako usijiuzulu

Dr. Ndalichako usijiuzulu

Joined
May 4, 2013
Posts
27
Reaction score
22
DR NDALICHAKO mimi binafsi nina imani kubwa na kazi unayoifanya kwani nimeshafanya mitihani mingi ya NECTA kama vile QT 1995, MTIHANI WA UALIMU DARAJA B na A 1996 na 2000, Mtihani wa Kidato cha nne 1998, mtihani wa kidato cha sita 2006 na mtihani wa diploma ya ualimu 2008. Kwa uzoefu huu kazi unayoifanya ni nzuri na haina upendeleo wowote. Achana na maneno ya wanasiasa ambao lengo lao ni maslahi ya nafasi zao kisiasa. Mungu akujaze nguvu katika harakati zako za kulitumikia taifa hili.
 
Back
Top Bottom