Dr Ndibalema wa udsm afariki

Dr Ndibalema wa udsm afariki

Bajabiri

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
9,728
Reaction score
1,204
Nimepata taarifa kuwa aliyekuwa mhadhiri wa chuo kikuu cha dar es salaam,dr ndibalema amefariki jana usiku,dr ndibalema alikua akifundisha EDUCATION ADMINISTRATION AND MANAGEMENT (EA), Pia alikua akifundisha chuo kikuu kishiriki cha ualim-DUCE
 
RIP - Prof Ndiba..

BTW: Kuna Member mmoja hapa anaitwa Ndibalema!
 
RIP Dr Ndibalema

Kuna mtu hapa JF anaitwa Ndibalema vipe wana uhusiaono wowote?
 
Very very sad news. Ndibalema alikuwa mwalimu mzuri sana. Binafsi nitamkumbuka kwa vichekesho vyake wakati anapofundisha kiasi kuwa huwezi sinzia kwenye lecture za Ndibalema. Mungu ailaze roho yake pema peponi Amin
 
Dr Alphonce Ndibalema was a great man and a wonderful Lecturer. May his soul rest in peace.
Kwa kweli ni vigumi sana kuamini na ninapata wakati mgumu kuelewa ukuu wake Mungu na mipango aliyonayo juu ya watu wake.
 
Bwana alitoa, na Bwana ametwaa, Jina la Bwana libarikiwe...Amina. RIP Dr.
 
Mie ndiyo nipo hapa msibani.Sababu ya kifo ni 'BP'.Aliamka asubuh ajisikii vizuri wakaamua kumpeleka zahati moja kwa uchunguz wa awali,wakakuta PB ipo chini,walivyojitaidi kuipandisha ndiyo hivyo alivyotutoka.
kwa kifupi alikuwa ni mzee kwa kisasa zaid asiyependa makuu.
RIP Dr Ndibalema
 
Back
Top Bottom