Dr Ndibalema wa udsm afariki

Halikuwa mtu poa sana
kusema kweli sina jinsi ya kumzungumzia kutokana na majonzi
mungu amrehem
 
poleni wote, dah hata mie aliwahi kunifundisha, alikuwa anachekesha sana, na marehemu alipenda sana kuyataja ma**. R.I.P Dr. Wa Ukweli sio wa kupewa kama ...........
 
Nimepata taarifa kuwa aliyekuwa mhadhiri wa chuo kikuu cha dar es salaam,dr ndibalema amefariki jana usiku,dr ndibalema alikua akifundisha EDUCATION ADMINISTRATION AND MANAGEMENT (EA), Pia alikua akifundisha chuo kikuu kishiriki cha ualim-DUCE


RIP MTU wa watu na MTU makini MAISHA yako yalibeba maana halisi ya UBUNTU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…