Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh,hiyo kitu ya kwenda kupima kwa ma-specialist siku hizi watu wanaogopa kama wanavyoogopa kwenda kupima ngoma(HIV),maana wanahofia iwapo itadhihirika mmoja wao ndo mwenye tatizo hatima ya uhusiano wao itakuwa mashakani sana.Inategemea umejaribu wa miezi mingapi? ila kwa ushauri nendeni kwa Dr. specialist wa magonjwa ya kina mama though hata kama ww ndio mwenye tatizo atagundua.