Dr Of Medicine&pharmacy

Wa Igima

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2014
Posts
376
Reaction score
110
Habar Wakuu!!
Mimi Ni Mhitim Wa Kidato Cha Sita Mwaka 2014,na Kupata Ufaulu Wa Div Three Ya Point 13.
Ph D,che C,bio C
Na Ndoto Zangu N Kusoma Kozi Tajwa Apo Juu.
Naomba Ushaur:ni Vyuo Gan Ambavyo Havina Ushindan Kabisa Na Ambavyo N Kivijaza Nita Fanikiwa..!!

Kindly Ligard Wasalaam..................
 
Umetengeneza freshh kaka lakini mdaa huu ulitakiwaa tayarii ukiwa unasoma hiyo kozi mwaka wa kwanza but sio mbaya bugando, st francis, udom,imtu,kampala labda vingine wadauu watakusaidia
 
hiyo inakua ngum kdogo.. cut-off points kwa bugando&kcmc ni 5 ... we hapo una4.. labda jaribu st.francis,archbishop james au st john
 
jamen , mimi na point 10, physics -C, chrmistry -B na biology -B ..... mwaka jana comptition ili ni knock out saiv .....ntapataje io pharmacy wandugu... au medicine
 
jamen , mimi na point 10, physics -C, chrmistry -B na biology -B ..... mwaka jana comptition ili ni knock aout saiv .....ntapataje io pharmacy wandugu... au medicine

Ndugu wote mnaoomba kujiendeleza na Fani za Afya na utabibu nadhani mngeanza na lugha kwanza.
Km bado unaandika Kindly Ligard badala ya Kindly Regards au unaandika (na comptition ili ni knock aout) wakuu mnaweza kuja kuua wagonjwa!

Improve your English first fellas before trying to obtain or pursuing Doctorates.
 
sawa kaka , yani matumizi ya lugha tu kwakeli .wala amna tatizo
nita improve
 
jamen , mimi na point 10, physics -C, chrmistry -B na biology -B ..... mwaka jana comptition ili ni knock out saiv .....ntapataje io pharmacy wandugu... au medicine
Kwani siku hizi points zinagawajwe Jamani? Enzi zetu hapo una point 7.Omba vyuo visivyo na ushindani.Acha kuamini kila daktari alisoma muhimbili au kcmc,ikishindikana sana tafuta udhamini usome nje.All the best.
 
asante , kwa ushauri mzuri kaka ndio nawasubiri tcu wafungue maombi nitume mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…