Meljons JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 3,105 Reaction score 1,406 Jul 26, 2013 #1 Naombeni anayeifaham hii shule ikoje kama inafaa kwa science, ipo Mbulu, mdogo wangu amepangwa hapo kwa combination ya CBG. Kama kwa science hawapaform tumshauri tu akapige arts.
Naombeni anayeifaham hii shule ikoje kama inafaa kwa science, ipo Mbulu, mdogo wangu amepangwa hapo kwa combination ya CBG. Kama kwa science hawapaform tumshauri tu akapige arts.