Eti wakulu nimesikia kua Dr.Remmy Ongalla atazikwa kitaifa na kupigiwa mizinga 7 jamani hizi ni habari za kweli? Na mgeni rasmi atakua ni raisi wa Jamuhuri ya kidemokrasi ya kongo ndugu KABILA!
HAKIKA TUMEMPOTEZA ALIYEWAHI KUWA GWIJI LA MZIKI MIAKA HIYO: mf. Mziki wake wa "siku ya kufa",MWANZA," MOLEMA" NARUDI NYUMBANIE, HAKIKA ALIKUWA HODARI KTK FANI.