Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Asante sana mimi pia nimefurahi ikiwa ushauri wangu umekusaidia ubarikiwenathamini sana mchango wako... madactri wengine wamekimbia hili jukwaa na umebaki peke yako, MZIZIMKAVU, NJIWA na wengine ... rudini humu wana JF bado wanawahitaji.
kuna tiba flani nilipata toka katika thread ya mzizimkavu ilinisaidia sana aisee..
long live JF doctor
Dr Riwa pamoja na pongezi toka kwa ndg yetu kauk najumuika naye kukupongeza kwa kutokuwa mchoyo wa tiba. Vile vile nina shida kubwa ya fungus kwenye vidole vya miguu, nimejitahidi kutumia dawa nyingi na lotion pia lakini sipati nafuu ya kudumu. Hivi sasa naumwa miguu siwezi hata kuvaa viatu vidole vimevimba na vinatoa maji kwenye joints, naomba msaada wako Dr!!!!!!!!!! Naishi Arusha.