Dr. Robert Charles Gallo: The man who created AIDS

Huyu aliyeandika thread ndeeeefu.... hakuna alichoeleza kwa kweli.

Ndo nin kusema..

Hakuna uhusiano kati ya vvu na ukimwi....
Kakataa nin kakubali nin.

yaaan cjuelewa kabisa...
Mara anelezea dalili za ukimw mara nin... doh
 
Hawa ndio wakuitwa magaidi,kwa maana wanauwa mamilioni ya watu.Kwa nini wanasayansi wauwaji hawaiti magaidi?
 
Swali lako ni la MSINGI sana mkuu..,Ni kweli kabisa wazungu wamefanya na wanaendelea kufanya mambo mabaya sana against waafrika..Lakini huwana nakaa mwenyewe najiuliza,Sisi kama waafrica tumafanya nini baada ya kugundua kwa mzungu sio Rafiki mzuri kwetu,Ni juhudi gani tumezichukua kama afrika kupambana na huu udhalimu wa wazungu?..Baadae nikagundua we are doing NOTHING.Huwa tunaletewa mada nzuri sana humu JF kuhusiana historia ya mafanikio ya race ya waafrika huko zamani kwamba africans ndio waanzilishi wa civilization katika Dunia hii..Lakin baadae najiuliza tulipotelea wapi hasa?..Sitaki kuamini kwamba uwezo na akili za watu zinaweza kuibiwa na race nyingine..Kama ni kweli waafrika tulikuwa na akili sana zamani,Kwanini tumegeuka kuwa race yenye matatizo sana,Na kwanini tusifanye mikakati yoyote kujikwamua hapa tulipo?..Kama ni uhuru tunao wa kufanya chochote coz ukoloni ulishaisha zamani?..Okey labda mtu atasema kuna Neo-colonialism,But kama tumeshajua kuna aina nyingine ya ukoloni,ni kwa nini tusifanye hata juhudi kupingana na huu ukoloni mpya ambao tumeshaujua na tuna angalau ka uhutu flani ka kujiamulia mambo tofauti na zamani?...Yaani kina maswali mengi sana ya kujadili kuhusu sisi waafrica kuliko kuwapa lawama wazungu...Tungekubali kwanza kuwa sisi tuna tatizo then tukaanza kujadili measures za kuchukua ili kujikwamua hapa tulipo ingekwa rahisi sana kukwepa hizi hujma za wazungu tunazolia nazo kila kukicha...
Hata ukitazama kiundani,Hivyo vitabu na majarida tunayisoma yanayoeleza kuwepo kwa African civilization huko zamani,90% yameandikwa na wazungu..Hata hawa wanasayansi tunaowajadili hapa Leo wanaosema HIV is na myth ni haohao wazungu na wengine wanasema kabisa ulikuwa mpango wa kuwapunguza waafrika duniani,Pia ni hao hao wazungu...Kwa nini sio sisi Waafrica?...Naona niishie hapo mkui..
 
We are cursed, thus wy our colour is also dark, embu niambie black amegundua nini toka kuumbwa kwa dunia, instead of kucheza ngoma tuu
Japokuwa sijapenda hilo neno ulilotumea"Cursed"...Ila siwezi kupuuza maneno yako mengine..Kiukweli kabisa tuna maswali mengi sana ya kujiuliza na kujijibu sisi kama Waafrica kuliko kuwalaumu wazungu kwa kila kitu...
Sisemi kwamba wazungu hawajatudhulumu,Ila haiondoi hoja kuu kwamba hata sisi tuna maswali mengi sana ya kujijibu sisi wenyewe.
 
Kaka naomba nikuweke sawa.Hakuna binadamu anayeweza kutengeneza ugonjwa na hakutokea wala hatotokea hilo jambo la kwanza.Nilichokielewa mimi kuhusu ukimwi ni ule ubabatizaji wa kimaelezo kwa hao wazandiki juu ya ukimwi.

Huyo ajiitae mwanafalsafa1 bandiko lake nimelielewa sana na nimefaidika pakubwa sana.Mimi binafsi kwa elimu yangu chache ya dini ilinifanya niyapuuzie yale yote yazungumzwayo kuhusu ukimwi.Allah awa;ipe kheri wa;imu wangu wa dini,walimu ambao walikuwa sababu ya mimi kuujua ukweli.

Nilikuwa najiuliza sana ni kwa vipi ukimwi unaambukizwa kupitia hizo njia tunazoambiwa na kwanini wanaokufa sana kwa ugonjwa huu ni watu wa jamii fulani tu ? Ukilinganisha maovu ya jamii tajwa na hizo zenye idadi chache ya wanaokufa kwa ukimwi ni mashariki na magharibi.

Katika dini tumeambiwa hakuna ugonjwa ambao hauna dawa yaani tiba.Ule uongo wao ya kuwa ukimwi hauna dawa niliuacha zamani...

Nina mengi sana ya kusema ila kwa hapa tatima....
 
Katika kauli ambazo huwa sipendi kuziona au kuzisikiliza ni hizi za kusema ugonjwa fulani umetengenezwa maabara au virusi vimetengenezwa maabara,sijawahi kuamini hilo wala wanasayansi wenyewe hawawezi kulithibitisha hilo.Ninachokiamini mimi ni ule mchezo mchafu wa kuyaelezea magonjwa hayo,hapo ndio kuna sanaa za ulaghai hufanyika...
 
Salaam wana jamii f,naomba kujua ni kweli Robert Charles Gallo aliamua kuleta virusi vya ukimwi na lengo ni kuua waafrica na mashoga?msaada tafadhali na kama ni yeye anachukuliwa hatua gani?mh
 
Nimeenda huko mkuu nimerudi na vitu adimu sana kichwani ambapo hapo awali sikuwa navyo na hasa somo HIV/aids...wazungu ni hatari sana[emoji36] [emoji36]
 
Abarikiwe maana dunia sasa hivi ingekuwa zaidi ya sodoma na gomora. God bless this man.
Dunia ipi??,, Sisi huku mavumbini ndio tunaogopa huo ugonjwa,, sehemu nyingine maisha yanaendelea kama kawaida tu,,, "kama mafua tu"
 
Tunajitahidi,, ila inahitaji muda,,, miaka hamsini/60 ya kuwa taifa ni michache sana kutufanya tumalize kila kitu,, ila hata wewe unajua afrika ya miaka ya uhuru siyo hii ya leo, vitu vingi vinafanyika, hata uelewa wa watu unakuwa pia,, miaka ile ya 80 haikuwa rahisi kuwa hata na hichi tunachokifahamu kuhusu huu ugonjwa,, ila miaka kadhaa imepita, watu wanaanza ku "question", hizi nadharia zatufikiazo kutoka huko uzunguni,, huwezi linganisha Tanzania yenye miaka hamsini na kitu ya uhuru na nchi kama uingereza yenye miaka zaidi ya elfu,,,,
 
Muwe mnasoma na kuelewa.

Charles Gallo ndiyo Mkombozi kwa kugundua virusi viletavyo ukimwi na kuua mamilioni ya watu duniani. Na sio alievitengeneza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…