connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,842
- 3,922
- Thread starter
-
- #81
Akafie mbeleWanawake wan uwezo huo kabisa bil ya rushwa ya ngono , kiasilia wanawake wako mbali sa a kiuwezo wa kawaida dhidi ya wanaume.
Kuna mwingine ni mkuu wa chuo cha DMI ,naye yuko vizuri wala sio mzee sana.
Umewahi kufuatilia huko Khartoum vita ilianzaje?Khartoum haina INTERNET kwa sasa..ungekuwepo huko usingeingia JF....
App zinatengenezwa na wanafunzi kijana, tena wakiwa bado hawajamaliza hata shule zao. Production hufanyika kwa namna tofauti, ndio maana ya kugawana majukumuLakini hakuna hata alikowahi tengeneza hata App/ software ya kutusaidia jamii?