JOHN POMBE MAGUFULI eeebooo na sie wa kanda ya ziwa tupate rais.
Kuwa SG wa OAU kutoka 1991 mpaka 2002,maana yake ni kuwa SG for three consecutive terms.Kumbuka huyu mtu alichaguliwa na watu wenye "akili zao" wenye uwezo wa kusema hapana kama mtu ameshindwa ku-deliver,siyo wale "watu wa pale Chimwaga".Really?
Is SAS bigger that his motherland Zanzibar? Are we serious? Not sure!
Ninachojua SAS aliwahi kuteuliwa barozi na uwaziri, na baadaye kupendekezwa na Mwalimu Nyerere kuwa Katibu Mkuu wa OAU.
Kote alikopita hakuwahi kuonyesha uongozi wa aina yoyote. Nasema mwenye ushahidi aseme 'legacy' ya uongozi wa SAS nini?
Bora hata Mrema (police posts), na Maalim Seif (CUF) wana legacy, lakini siyo SAS!
Msipoteze muda wa Watanzania, SAS is finished; alishindwa kuonyesha uongozi OAU. He is indecisive, period! Ameshindwa hata ku-raise profile ya MNF! SAS only banks on the history of being merely lucky, in the past; a young diplomat, UN SG contestat (1981) handsome PM (1984-1985), deputy PM and defense minister (1986-1990), OAU SG 1991-2002). Hizo zote zilikuwa juhudi za Nyerere. Hata hivyo hakuna mahali alipoteuliwa aliweza ku-excel. Mzigo tulioubeba kwa Kikwete unatosha, wapo watanzania wengine wenyeuwezo kuongoza Tanzania; tuwape nafasi watuongoze. Tunachotakiwa kufanya ni kupigania mfumo utakaotuwezesha kukamua wagombea hadi tumpate mtanzania mwenyeuwezo kuliongoza taifa letu. Explore outside the Box; CCM box!!!
Kwakuuza nyumba za serkali kwa bei poaKwa sifa zipi?
sio fisadi.......unataka sifa gani zaidi???Hakuna sifa nyingine nzuri zaidi ya hii kuhusu Magufuli?🙄
Kuwa SG wa OAU kutoka 1991 mpaka 2002,maana yake ni kuwa SG for three consecutive terms.Kumbuka huyu mtu alichaguliwa na watu wenye "akili zao" wenye uwezo wa kusema hapana kama mtu ameshindwa ku-deliver,siyo wale "watu wa pale Chimwaga".
Recently TZ ilikuwa na yule mama pale bunge la Afrika kama Spika,alishindwa ku-deliver "wenye akili zao" wamemwondoa.
Hivyo kuwa kiongozi wa OAU siyo jambo dogo mkulu, kama unavyojaribu kuliwasilisha hapa.Hilo peke yake linampa mtu nafasi ya kujua matatizo mbalimbali ya nchi za kiafrika.Kwa jinsi hiyo, ameona mengi na tunatarajia amejifunza mengi kwani ni mtu anayependa kujifunza, rejea CV yake,he was a mere form IV leaver, alipokuwa balozi Egypt lakini leo hii CV yake inapendeza sana kuisoma.
Lakini bahati mbaya nchi hii imelaaniwa, watu makini na wenye uwezo, HAWAKUBALIKI.