Ni mpumbavu tu....Msomi huyo ameshindwa kujipendekeza kwa wanasiasa kama mlivyozoea kwa wengine.
Wazinza wanatoka mkoa gani?Jaman eeh,Dk. Sengati hajawa RC wa kwanza kutenguliwa baada ya JPM kuondoka. Vyovyote itavyokuwa imetokea mwenye kauli ya mwisho juu ya ajira hiyo ni yule aliyeteua na ndiye kaona Daktari hamfai tena. Sina shaka na uwezo wa yule Mzinza kitaaluma coz umahiri wake alikokuwa be4 ndiyo uliivutia mamlaka ya uteuzi hadi kumuomba amsaidie ktk kazi hiyo ya ukuu wa mkoa.
(Abhazinza twimanye tulibhache). Never give up brother!
Mkoani Mwanza ktk jimbo la Buchosa,wilayani SengeremaWazinza wanatoka mkoa gani?
Hehehehehe!Sawa tuu apishe wengine nao wale,saingine mtu amechoka kutumwa na mwanamke
Big headedView attachment 1969340
View attachment 1969343
Kuna watu huwa wamesoma sana lakini ni wagumu kuelewa.
Huyu Dr Sengati ana matatizo gani?
Kaonywa lakini haelewi!
Hawa ndio tunaita thick headed!
View attachment 1969340
View attachment 1969343
Kuna watu huwa wamesoma sana lakini ni wagumu kuelewa.
Huyu Dr Sengati ana matatizo gani?
Kaonywa lakini haelewi!
Hawa ndio tunaita thick headed!
Uksribu na Chato huko kwa mwendazake.Mkoani Mwanza ktk jimbo la Buchosa,wilayani Sengerema
Msiwe wabishi kuelewa issues.Msomi huyo ameshindwa kujipendekeza kwa wanasiasa kama mlivyozoea kwa wengine mliowaokota jalalani.
Hili taifa linahitaji Katiba Mpya kwa haraka sana, na wale wanaosema Chadema ndio wanaitaka hawajitambui, wamezoea kuishi utumwani.