Kwa muda mrefu mdau wa UK Dr.Shayo amekuwa akiitumia blog ya Issa Michuzi na kujifanya kama ni mtaalam wa uchumi toka London Southbank university wakati ukweli ni kuwa Dr.Shayo ni bingwa wa mazingira na hana hata certificate ya uchumi.
nia yangu ni kuwaweka wazi wenzangu,kwani tumewahi kumpata bwana Jack Pemba akisema yeye ni ajenti wa mpira toka UK wakati website ya Fifa haisemi hivyo.
ukipitia website ya London SouthBank University www.lsbu.ac.uk chuo hicho hakina kozi hata ya diploma ya uchumi na pia si katika vyuo bora UK.
Naomba wanaomjua DR.Shayo au DR.Shayo mwenyewe atupe ukweli wa habari labda nilivyofahamu mimi ni tofauti.
Hivi karibuni alifanya Interview kama mtalaam wa uchumi toka UK mimi niliamini hivyo hadi nilipoelezwa tofauti. hili linatusaidia huko mbele ya safari kwani kuna watu wamewahi kuja hapa nchini wakisema wamehitimu utawala marekani wakapewa UVC wa Mzumbe wakati ukweli sio ulivyo.
kinga ni bora kuliko tiba.