Elections 2010 Dr. Shein na Maalimu Seif wanachuana Z'bar

Status
Not open for further replies.

Napata shida kuamini, kama Tomaso vile? Anyway MWIBA, Ndo kusema vyama vingine 0?
 
Napata shida kuamini, kama Tomaso vile? Anyway MWIBA, Ndo kusema vyama vingine 0?
Hizo za urais wa zanzibar muungano slaa anaongoza si mliona alijaza watu pale unguja?
 
Kama SHAIN alipiga kura yake ostabei Dar mnategemea ana maslahi na wazanzibar???
Waache wazenji wamchague mtu wanayemwona anawafaa.
Hongera Maalim Seif kwa kukaribia kiti cha ushindi.
 

Hapa ndo watu huwa wanaimba '' Wamebana wame achia!!!!''
 
Maalim Seif..........anaichukua Zanzibar................nawakilisha
 
Madungu
CUF 1006
CCM 418
Kituo cha Michakaini
Maalim Seif CUF 956
Dr. Shein CCM 246.
 
Kuna wizi mkubwa umegundulika na huenda uchaguzi ukaingia dosari kubwa.na inasemekana umefanyika kwa Tz nzima vipi na kwa njia gani bado ni mtihani.
 
Kuna wizi mkubwa umegundulika na huenda uchaguzi ukaingia dosari kubwa.na inasemekana umefanyika kwa Tz nzima vipi na kwa njia gani bado ni mtihani.

Hamadi nini tena nilishaanza kusikia raha nuksi imeanza hawa CCM nitatukana mie!!!!!!!!
 
Zanzibar matangazo yamesimamishwa na hakuna ruhusa kwa chombo kutangaza kama ilivyokuwa hapo kabla kuna jamaa wa cable tv walikuwa wakirusha live kila yanapotiwa sahihi ,baada ya kutokea mgomo kwa ccm kusaini ndipo matatizo yalipoanza na taa kuzimwa baadhi ya sehemu za mashamba kama bububu ,inasemekana sasa hivi ccm wana attack ya kuiba kura na kutangaza uwongo.
 
Duh Hakiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..ila bado majimbo ya CCM kutangazwa na yana population kubwa kwa zanzibar..huenda kibao kikageuka..ila all in all Maalim Urais upo peupe upande wake
 
Kama MWIBA ndo kaileta hii basi thithiemu kazi wanayo!
 

ah hawa jamaa mbona wanataka kuharibu jamani watazamaji wa EU wapo waungwana wa SADC nao na kwengineko
 
Shein hana hamu yuko Dar, kakimbia aibu Zanzibar.

Angejua ni bora angebaki kuwa mgombea mwenza kabla hajaanza kujipigia ndogondogo kuwa mgombea Zanzibar. Calculus imegoma, probability ya CUF kushinda ni dhahiri.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…