Mwenyekiti wa ZEC, Hatibu Mwinyichande, amesema matokeo yanachelewa kwa sababu, kuna matokeo yenye mashaka, wanayafanyia kwanza verification, hivyo ameomba wananchi wawaelewe.
Amesema, bora kuchelewa kutangaza, lakini unachotangaza ni matokeo ya uhakika kuliko kuharakisha bila uhakika.