Dr Shein : Timu za Zanzibar msipotwaa kombe mwaka huu msiniite tena

Wachezaji wazanzibar/wapemba-wamelegea kama "waimba taarabu".
 
kila eneo la zanzibar kilio mpira huo utachezwa saa ngapi,eti jecha analala kwenye mashua pale bandarini
 
Mkuu umenichekesha sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Atakuwa amejiandaa kisaikolojia kutokwenda sababu ipo wazi timu za huko kwa kiwango kilioonyeshwa haziwezi kuchukua ndoo hiyo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…