Kumbe Dr. Shein ana mamlaka ya kufungisha ndoa?
Wanasheria hii ikoje wakuu?
Unashanga Dr shein kuwa na mamlaka ya kufuganisha ndowa ya mtoto wake ?wacha kufungisha ndowa Anatari watoto wa wakiume na kama wewe hujatahiriwa muombe tu akuondowe mkono wa koti huo.
mkuu waislam baba ndio anayemuozesha binti yakeKama anafungisha ndoa kama wafanyavyo mashekhe, mapadre, wachungaji, nk lazima awe na leseni ya kufanya hivyo. Sina uhakika na Sheria za Zanzibar kuhusu hili.
Duuuh Akipewa talaka je?