Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Dr. Slaa leo ameanza kuwakawaka channel ten
Katika taarifa ya habari ya channel ten ya jioni ya leo, Dr. Slaa ameonyeshwa akiwa anahutubia mkutano wake wa kampeni huko Ifakara.
Yaelekea channel ten imesitisha mgomo wake baridi.
Hongera channel ten kwa kuweka utaifa na maadili ya kazi mbele.
Hawana jinsi; wabaya sana na wachafu kabisa CH10; Wachafu wakubwa; kuna vijana wajinga kabisa; sijui wamesoma wapi hawa
Dr. Slaa leo ameanza kuwakawaka channel ten
Katika taarifa ya habari ya channel ten ya jioni ya leo, Dr. Slaa ameonyeshwa akiwa anahutubia mkutano wake wa kampeni huko Ifakara.
Yaelekea channel ten imesitisha mgomo wake baridi.
Hongera channel ten kwa kuweka utaifa na maadili ya kazi mbele.
Kweli aiseee kwa sasa bora uangalie ATNChanel 10 nilikua naangaliaga UEFA tu. Tangu walipoacha kuonyesha UEFA sikumbuki hata hako ka chanel kanaonekana vp?.