Dr. Slaa afunguliwa mashtaka mahakama kuu leo

http://4.bp.blogspot.com/_HO8ijU76ZcQ/TIY9D57E_rI/AAAAAAABO2E/qiIowDI1fwQ/s1600/slaa1.jpg

ok, kumbe jamaa kapata uchungu leo tokea muda wote, huyo hajitambui ameshapigwa ganzi. Go go go go Slaa don turn your back and we wont as well!!!!!!!!!!!!

Inafurahisha sana pale mtu unapokuwa huna haja na kitu, ukakitupa na kukiona hakina thamani. Mpita njia anapokiokota na kukipa hadhi, unakurupuka na kuanza kudai umeibiwa!
Mahimbo, iko wapi ile pride ya kiume?...Kwa kweli unawaaibisha wanaume wenzio, unaonyesha ulivyo maskini wa roho na kufikiri.Ungekuwa unamthamini mkeo na kumjali asingeondoka kwako toka mwezi Machi mwaka huu, ukakaa kimya hadi uliposikia katangazwa mchumba ( First lady to be). ULIKUWA WAPI SIKU ZOTE USICHUKUE HATUA HATA YA KUMBEMBELEZA NA KUMWAMBIA MAMAA RUDI NYUMBANI TULEE WATOTO. Mbona wana ndoa wengi hukabiliwa na changamoto zinazopelekea mwanamke kuondoka lakini kwa busara za waume wenzio, hufanikiwa kuwashawishi wakarudi na maisha yakaendelea!
SHAME ON YOU KUJARIBU KUTAJIRIKA PALE AMBAPO HUJAPANDA!
 
Wos... Mahimbo is being used.. period

Baada ya wajanja kugundua kwamba alikua mkewe, basi wakamwambia tuachie kila kitu na wakachukua mpaka vyeti vya ndoa, picha nk. ukweli ni kwamba walitengana na ilifika wakati dada was declaring herself as mjane!!!

walioongea na jamaa wanasema he thinks Dr. was not aware of hiyo ndoa kwamba ipo bado alive, so to me its purely political malice kama ile ya mrema, lipumba, mwinyink. the boy is being used

pamoja na hayo, its a shame mke kaondoa march unashtuka leo, je angechukuliwa na acid au kapuku mwingine... jamaa angeenda mahakamani kuomba bilioni moja??

je thamani ya ndoa yao ni hiyo au mapenzi??

na in tanzania what is the experience of judgments kwenye kesi kama hizo?
 
ANACHOTAKIWA KUSEMA MAMA SLAA MTARAJIWA AKIWA MAHAKANANI:

1. Jamaa ni SHOGA.

2. Jamaa Kijogoo hakiwiki.

3. Jamaa ni Teja na Shoga/kijogoo hakiwiki.

4. Jamaa alikuwa akiwanajisi watoto na mama mbiyooo.......

Hii ya nne hutumiwa sana Ulaya na akina mama na kuipinga huwa ngumu sana.

Maadamu SIASA ni mchezo mchafu, mama pigilia namba nne yaani: Ulimkamata akiwafanya watoto mchezo mbaya. Maadamu watoto bado wadogo, basi hata kuchukuliwa kama mashahidi haitafanywa...............

Huu Mchezo wa CCM tumeshauchoka sasa. Safari hii hatudanganyiki. Jamaa abadilishiwe kibao kuwa alikuwa akinajisi watoto na hapo atajuta kuzaliwa maana ataenda kuwa Room Mate wa Babu Seya sasa hivi.................
 
Jamani tusikae tukadanganyana hapa kuwa Dr Slaa sio msafi! Kwa kweli ukiangalia sio kila binadamu ni msafi. Cha maana tulenge kwa mwenye mapungufu machache ambayo sio detrimental to the whole Tanzanian society.

Na jamani tusipende kuingiza udini wana forum! Sisi tunachojua Dr Slaa ni kiongozi bora na atleast anafaa kabsaaa kuongoza nchi hiii ukilinganisha na viongozi wengine wa nchi hii. Tayari inavyoelekea wengi wa wana forum wameanza kunaswa na mtego wa CCM walioutega kwamba Slaa si msafi, mzinzi n.k. Au sijui labda hao wanaomsakama Dr Slaa kwamba si msafi kuhusu masuala ya ndoa basi labda watakuwa ni mashabiki wa CCM au wanaofaidika na ufasadi unaoangamiza Watanzania.

Mimi hapa kwa jinsi nionavyo the main issue ni je huyo rais Watanzania tumtakaye ana uchungu na nchi hii? Na je yuko tayari kukabiliana na ufisadi, kutetea wanyonge na kuinua hali duni za maisha ya Watanzania? Hilo nadhani ndio jambo la msingi! Lakini nionavyo sahivi tumeanza kuwa diverted from our main focus na tumekaa tunajadili marital and domestic issues badala ya kukaa na ku concentrate na hao majambazi wa rasimali zetu. Au labda naona kuna mambo ya kushabikia kama simba na yanga bila kujali the main focus (kiongozi mwenye uchungu na TZ).

Ngoja niwaulize wana JF wenzangu lipi ni bora? Tuwe na kiongozi mwizi na pia mzinzi au tuwe na kiongozi awezaye kukabiliana na ufisadi mwenye kiji scandal kidogo cha ku fall in love na mwanamke ampendaye ambaye walishatemana au kugombana na mmewe?

Tena CCM wameenda mbali kwa kutaka kumwangamiza mkombozi wa wanyonge kwa issue ambayo kiongozi wao wenyewe ndio gwiji wa kutembea na wake za watu na pia wasipoangalia hata huyo mgombea wao ndo usiseme kwa totoz! Hii issue naona ita-backfire kwa CCM kwani mgombea wao hajambo kwa wake na wasio kuwa wake za watu! Tena hili suala sasa inabidi wana forum tulijadili bila kutoka nje ya hoja ya msingi(kiongozi mwenye uchungu na TZ)! JE MGOMBEA YUPI WA URAIS ANAONGOZA KWA UFUSKA NA NGONO KATIKA WAGOMBEA URAIS?
 
Huyo mume alikuwa wapi siku zote hizo tangu anyang'anywe mke asitoke hadharani mpaka asubiri kipindi hiki cha kampeni? au kunyang'anywa mke haikumkera sana kilichomkera ni kunyang'anywa na Rais mtarajiwa?
 
WoS.... umemalizaaaa!!!
-------------

Mwanakijiji ebu tuwekee poll ili tupige ni mgombea gani anaongoza kwa ufuska. Matokeo yataonyesha.

Nimjuavyo Slaa nashindwa hata kujua hata wale watoto aliwezaje kuwazaa kwa sababu muda wa kula ile habari huwa hana!
 

Case za civil mara nyingi proof is on balance of probability.... Mahimbo atakiwa kuthibitisha...kuwa Slaa kamchukua Josephine huku akijua fika kuwa anamchukua mke wa mtu... sasa huyu Mahimbo alimwacha mkewe akaishi nje ya matrimonial home muda wote na asichukue hatua yeyote.Hizo bilioni hadi azipate itabidi wacheze game la nguvu sana. Isitoshe mke wa mtu kaandikwa usoni?
 
-------------

Mwanakijiji ebu tuwekee poll ili tupige ni mgombea gani anaongoza kwa ufuska. Matokeo yataonyesha.

Nimjuavyo Slaa nashindwa hata kujua hata wale watoto aliwezaje kuwazaa kwa sababu muda wa kula ile habari huwa hana!

Upambe wa kipuuzi huu!!
 

Ndiyo kwanza leo nakuona ovyoooo!!!
 
ULIKUWA WAPI SIKU ZOTE USICHUKUE HATUA HATA YA KUMBEMBELEZA NA KUMWAMBIA MAMAA RUDI NYUMBANI TULEE WATOTO.

WOS,
Inaonyesha hupo hasa hapa duniani, binafsi nimezipata habari za sakata hili kupitia vyombo vya habari, wanaohoji kwanini limezuka saivi wakati wa kampeni, wakidai nia ni kumchafua Dr.Slaa?
Kwanini isiwe swali kwa Dr.Slaa naye kwanini akamtambulisha Josephine kuwa "mchumba" wake kipindi hiki cha kampeni?
Alikuwa wapi Dr. Slaa wakati watu wakiamini kuwa Rose Kamili ni mkewe, huku siku chache tu Rose alipotangaza kuhamaCCM na kujiunga chadema alinukuliwa akisema "anamfuata mumewe" mbona Dr.Slaa hakukanusha kuwa Rose hakuwa mkewe, anakuja kumkana leo akiwa na Josephine?
Unaposema Mahimbo alikuwa wapi siku zote hizo asimbembeleze mama kurudi, haiingii akilini hata kidogo. Hivi wewe miezi miwili iliyopita ulijuwa kuwa Dr. Slaa anatembea na Josephine na amesha achana na Rose? Kumbe, hata mgogoro wa Josephine na Mahimbo hatukuwa tukiujuwa ulianzaje na ulikwendaje baadae, hatuwezi kuhoji alikuwa wapi siku zote wakati nyuma ya pazia ya matatizo yao hatujuwi. Soma kipande cha habari hapo chini umsikie Mahimbo akinukuliwa akisema, alikuwa wapi siku zote hizo:


 
ntalala usingizi mzuri sana leo.... dogo is just being used
 
very simple case

all wat Dr slaa needs to say is that,

FIRST , I DDNT KNW THAT SHE WAS A MARRIED WOMAN....and
SECOND, I HAVE NEVA HAD SEX WITH HER.....!


case closed!!!!!!!!!!

Una akili nyingi sana!
 
Mie mbona nimekuona siku nyingi tu?

Kama ndiyo leo umeniona ovyo, basi kweli wewe hamnazo.

Subiri huyo Shoga wenu atakapabadilishiwa kibao cha kuwa ni Pedro aka Pedo.

Ndiyo kwanza leo nakuona ovyoooo!!!
 
Hebu tutafakari zaidi hili sakata..


"lakini why are we bothered with other people's affairs this far?! Tunakosa usingizi kwanini?...tuwaache SLAA, MAHIMBO NA JOSEPHINE WAKOSE USINGIZI - THE TRIO.Sisi macho yetu tuelekee Oct 31st. Kilichowapata hawa watatu wanakijua wenyewe.Sisi tutabomoa vichwa kuhisi utadhani yanatuhusu.


Hivi tukijisearch wenyewe..TUTAJIPATA tuna mapungufu mangapi labda hata zaidi ya Dr na Josephine? FOOD FOR THOUGHT!


Tunajihesabia haki, tunajiona wasafi, tunahukumu!"
WoS
 
chadema wanasema wao na waumini wazuri wa siasa za nyerere na wanaamini kuwa mwalimu alikuwa mtu safi na mwenye dira


aliwalaumu sana marais waliofatia baada ya yeye kwa kulifuta azimia la arusha na kupora rsource za nchi na mengineyo kwa uoni wao


sasa mwalimu aliwahi kututolea mfano wa waziri mmoja uingereza ambae alituhumiwa tu kuwa alikuwa akitembea na mtu wa barabarani, basi ile tuhuma ikaenea na yule waziri alipoona vile akaamua kuandika barua kwa waziri mkuu kumuomba ajiuzulu, waziri mkuu hakumjibu yeye aliteua waziri mwengine kushika ile nafasi

akasisitiza tuhuma tu mtu anatakiwa ajiepushe nazo.

sasa turudi kwa huyu wetu dr Slaa, haoni kuwa anastahiki kuacha kuendelea na kampeni na kujiuzulu uongozi wa chadema kwa kufata miko ya maadili. na kuonyesha kwa kweli kuna mapungufu pahala na kutafuta suluhisho hadi hizo tuhuma zithibiti si kweli ndio arudi?



nnawalaumu sana CHADEMA mtu kama huyu kumuacha kuendelea kuzunguka kwenye kampeni maana, sasa watanzania intertionally watataka wamuone mzinzi na si mgombea urais kitu ambacho kinadestroy image ya chama na pia kinadestroy image ya mgombea wake.

mm huwa nnajiuliza tunaifunza nn jamii tunapoona kiongozi anaetaka kuiongoza nchi kama hii kusimama mbele ya watu na kukiri niliishi na mwanamke na kuzaa nae watoto wawili sijamuoa, na huyu nnaishi nae ni mchumba wangu, kwangu ni aibu nikiamini kuwa dini zote mbili zinakataza utaratibu wa kuzini na mtu kwa kuporwa au kinyume kabla ya kumuoa.

tatu jamaa kufungua kesi mahakamani si kweli kuwa imemsaidia Dr slaa kwa kuwa waandishi na vyombo vya habari watakuwa hawawezi kulizungumzia tena, na kinachobaki ni hukumu toka mahakamani. hii inamuumiza zaidi maaana hata yeye hatoweza tena kujitetea na kurejesha imani kwa watu ambayo tayari ishapotea

mwisho bila kigugumizi nasema huyu ni muhuni tu
 
This is a frivolous lawsuit that I am absolutely certain it will be tossed away. You watch.....

I'm glad he's finished!
We can not elect politicians who are morally bankrupt. JK and CCM politicians are the people of morals. The opposition leaders are corrupt and with no morals.
Vote CCM
 
mmehamisha huku ili kumlinda mtu wenu si o ?

mbona ya mwanakijiji mmeiacha kule kule

mnasingizia masuali ya sheria ? hii ni siasa irudi kule acheni sura mbili nyny
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…