Elections 2010 Dr. Slaa ahutubia Kilombero; ampigia debe Regia Mtema

Elections 2010 Dr. Slaa ahutubia Kilombero; ampigia debe Regia Mtema

Mpita Njia

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Posts
6,997
Reaction score
1,172
Slaa_Regia.jpg

Regia_Mtema.jpg




Mambo ya Regia Mtema (aka gender Sensitive) kule Kilombero leo baada ya Dr Slaa kutia timu
 
Last edited by a moderator:
kitu kimetulia.......ana mume?????
 
Niko na hamu kusikia mtizamo/msimamo wake kuhusu wanawake

naomba mwenye audio au video atuwekee hapa

natanguliza shukurani 🙂
 
all the best Mama Regia Mtema..! nitafurahi hikikuona mjengoni ,..! be blessed!
 
Huyu dada alistahili viti maalumu, haikuwa na haja ya kuning'inia majukwaani.

Kiranga aka kituko umemuona GS.?
 
Huyu dada alistahili viti maalumu, haikuwa na haja ya kuning'inia majukwaani.

Kiranga aka kituko umemuona GS.?

Mkuu hapa huijaeleweka labda kama ungefafanua, but all in all G.S ni mwanamke wa kuigwa na kuwa mfano, hana shida ya kusubiri viti maalum kwani uwezo wa kuwa mbuge wa kuchaguliwa anao...
KEEP IT GS, HAKUNA KULALA HADI KIELEWEKE!!
 
Huyu dada alistahili viti maalumu, haikuwa na haja ya kuning'inia majukwaani.

Kiranga aka kituko umemuona GS.?

Alistahili viti maalum kwa sababu gani? Hana uwezo wa kufanya kampeni au vipi ?
 
Kweli Tanzania kuna dhiki ........hivi huyu mgombea si bado under 30 au?
 
MAMBO ya tanzania,its so hard to understand-yaani mpinzani wake huyu regia-ABDUL MTEKETA anagombania ubunge,campaign yake ikiwa spearheaded na strategist na campaign manager Jack pemba-my take it will take many years kwa watanzania kujua politics
 
All the best dada! Wana Kilombero Mbunge ndo huyu, MSIDANGANYIKE
 
Kwani hujasikia kuwa wazee mnatakiwa mpumzike sasa?

mkuu hujanipata nafikiri ......nashangaa mgombea ambae ana umri wa chini ya miaka 30 but doesnt look her age! ndio najiuliza kama chanzo kuwa ni dhiki ya Tanzania!
 
Regia hilo gwanda limekukubali kweli ulipitia JKT?
 
Kila la heri GS
Moto ndiyo umewashwa hivyo, hakuna kulala, ni kuchochea mpaka kieleweke!
 
Back
Top Bottom