Gaijin,
yaani umeamua kuchafua hali ya hewa bila sababu ya msingi. Sad in deed!
Kwa nini unataka kuaminisha watu kwamba GS ni mtu wa dhiki?
Of course, GS aliweka wazi autobiography yake hapa JF baada ya mauzauza ya mkuu Kiranga, nina hakika unaelewa nachosema, kutokana na ukweli kwamba wewe ni mkongwe hapa JF..
Inabidi tum-support Regia kwa hali na mali ili afanishe malengo yake ya uwakilishi wa jimbo la Kilombero.
Huyu ni mpambanaji, hutuwezi kujua--akichaguliwa kuwa mbunge wa Kilombero, may be, harakati zake zinaweza kupelekea kupungua kwa bei ya sukari.
Huo utakuwa ni mchango mkubwa tuu kwetu sisi walalahoi.