TAARIFA ZA KUFURAHISHA NA ZA UHAKIKA NI KWAMBA MZEE mwasisi wa TANU na mwenyekiti wa wilaya ya Maswa wa CCM Mh.Charles Bukoye amehamia CHADEMA TOKA CCM na kwa leo ndiye alikuwa na jukumu la kumkaribisha DR.SLAA kuwahutubia wananchi wa Maswa.
nakuunga mkono ndugu , maana kuna mahali nimesikia watu wa ccm wamepandikizwa ili wawe mawakala wa chadema, bahati nzuri taarifa hizo zimekwishawasilishwa kwa viongozi wa chadema mkoa na wanazifanyia uchunguzi.Good:
Wasiwasi wangu watu hawa wasipewe jukumu la kutafuta mawakala wa kusimamia uchaguzi. Huwezi kujua wana mkono wa nani. Sasa hivi ni kuchallenge kila "status quo"
nakuunga mkono ndugu , maana kuna mahali nimesikia watu wa ccm wamepandikizwa ili wawe mawakala wa chadema, bahati nzuri taarifa hizo zimekwishawasilishwa kwa viongozi wa chadema mkoa na wanazifanyia uchunguzi.
hawa mawakala wa chadema kweli wataapa au ndio kimchezo mchezo tu?