Dr. Slaa Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CHADEMA anafafanua masuala mengi ikiwemo:
part 1
part2
Video kwa hisani ya Tangibovu wa Youtube.
- Comparative advantage
- Stimulus package ya uchumi (kinga dhini ya mdororo wa kiuchumi duniani)
- Stabilization Fund Fund (mfuko maalumu kulinda bei za mazao ya wakulima kuwatia moyo wakulima wadogo na wakubwa)
- Wakulima wa USA na EU wanalindwa na serikali zao, pia Chadema itawalinda wakulima wa Tanzania
- Money Economy kwa wakulima
- CHADEMA inatambua Muungano wa Tanzania ni wadamu kabisa. Kisiasa serikali tatu kwa Tanzania ni bora zaidi( Tanganyika, Zanzibar na Serikali ya Muungano).
- Kodi mbalimbali kama VAT, madini kama Tanzanite, bauxite, dhahabu, almasi, utalii , samaki n.k na rasilimali nyingi zikisimamiwa vizuri huduma za jamii bure kama Elimu, Afya inawezekana kabisa.
- mikataba mibovu kama ya sekta ya madini kufumuliwa.
- wakati wa Mwalimu Nyerere iliwezekana kusomesha watoto bure kwa rasilimali chache, hivyo kipindi cha sasa inawezekana pia kwa vile tumefungua milango mingi ktk sekta ya madini.
- Nilipata wadhamini zaidi ya milioni 1.3 nchini kote, hivyo nimeamini Watanzania wamenikubali kugombea Uraisi kwa tiketi ya CHADEMA.
Video kwa hisani ya Tangibovu wa Youtube.
Last edited by a moderator: