Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Kwenye majimbo 289 ya uchaguzi, CCM wamasimamisha wagombea majimbo yote, sisi wapinzani tumesimamisha majimbo 180, maanaake majimbo 109 tumeyasamehe, na katika hayo inasemekana kuna upinzai wa nguvu majimbo 70, kwa maana nyengine inaweza kuotokea CCM wakakosa majimbo 70, na wakapata 219, tutaongoza Serikali vipi?
Mmh, mimi siamini kama upinzani tutapata hata asilimia 30 ya viti vya ubunge??.
Mmh, mimi siamini kama upinzani tutapata hata asilimia 30 ya viti vya ubunge??.