Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Nilisoma sehemu hapa jamvini, wabunge 17 wa ccm wamepita bila kupingwa na majimbo ya uchaguzi 232.Sasa wabunge 109 wa ccm wamepita bila kupingwa na majimbo ya uchaguzi 289 sijui umetoa wapi?Kwenye majimbo 289 ya uchaguzi, CCM wamasimamisha wagombea majimbo yote, sisi wapinzani tumesimamisha majimbo 180, maanaake majimbo 109 tumeyasamehe, na katika hayo inasemekana kuna upinzai wa nguvu majimbo 70, kwa maana nyengine inaweza kuotokea CCM wakakosa majimbo 70, na wakapata 219, tutaongoza Serikali vipi?
Mmh, mimi siamini kama upinzani tutapata hata asilimia 30 ya viti vya ubunge??.
Kwenye majimbo 289 ya uchaguzi, CCM wamasimamisha wagombea majimbo yote, sisi wapinzani tumesimamisha majimbo 180, maanaake majimbo 109 tumeyasamehe, na katika hayo inasemekana kuna upinzai wa nguvu majimbo 70, kwa maana nyengine inaweza kuotokea CCM wakakosa majimbo 70, na wakapata 219, tutaongoza Serikali vipi?

umeanza kukubaliana na ccm eeh.safi nyumbani ni nyumbani
Hapo umenena mkuu MASHA na KAMARA ni wabunge wa hovyo sijawahi ona ila kwa mfumo wa uendeshaji wa serikali yetu maamuzi na sheria zinatungwa na kupitishwa na bunge huoni kama Dr. Slaa atakuwa Raisi na kuwa na wabunge wengi atakwamishwa na idadi wa wabunge lukuki wa CCMkwani Cameroon anaongozaje serikali Uingereza...Kwani kuwa na wabunge wengi ndo nini? hata awe na wabunge wa 3 serikali itaundwa tu...kuna faida gani ya kuwa na wabunge wengi halafu unakuwa na waziri kama KAMARA na MASHA
Kwenye majimbo 289 ya uchaguzi, CCM wamasimamisha wagombea majimbo yote, sisi wapinzani tumesimamisha majimbo 180, maanaake majimbo 109 tumeyasamehe, na katika hayo inasemekana kuna upinzai wa nguvu majimbo 70, kwa maana nyengine inaweza kuotokea CCM wakakosa majimbo 70, na wakapata 219, tutaongoza Serikali vipi?
Mmh, mimi siamini kama upinzani tutapata hata asilimia 30 ya viti vya ubunge??.
Nenda kajipange upya halafu uje hapa kueneza upupu.
Tanzania gani hiyo yenye majimbo ya uchaguzi 289? Tuki-assume kwamba uko sahihi kwa maana ya upinzani kusimamisha wagombea 180 ina maana wabunge wa ccm 109 wamepita bila kupingwa, lakini kinachojulikana ni kwamba wabunge wa ccm waliopita bila kupingwa ni 19, au hizi tarakimu zinakupa shida kiasi kwamba huoni tofauti ya 19 na 109? kazi kweli kweli.