Torra Siabba
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 243
- 287
Ndugu zangu, kuna huyu Kiumbe anaitwa Dk Slaa, Sikatai mchango wake kwenye kukijenga Chama cha Demokrasia na Maendeleo lakini kwa sasa anakera.
Wote mnakumbuka, baada ya Mzee Lowasa kuja Chadema huyu jamaa aliondoka Chadema akahamia CCM, NA kupewa Ubalozi huko CANADA, kiuhalisia kwangu Mimi sjui kwa wengine alipoteza nyota zote nilizokuwa nimempa kwenye bega lake.
Nimeskia kakamatwa, sikua najua alikamatwa sababu gani.. leo nimeskia ile Voice note!! NIMECHEKA SINA MBAVU buana Alichokamatiwa nimeshangaa sana.
Hivi Slaa anapata wapi uhalali wa kusema mbowe anahongwa pesa na President Samia? Wakati haya yeye alikimbia chama tena wakati kinamhitaji? Marafiki zake wamuambie ameshapoteza Ile Pontential zake kwa wananchi yaani sasaivi yeye hana jipya la kutuaminisha na wala hajasahau chochote kwenye Chadema yetu. Akae mbali tafafhali.
KWA MAONI YANGU JAMAA ASIACHIWE MPAKA UCHAGUZI UISHE