Elections 2010 Dr Slaa anatakiwa Mafinga

Elections 2010 Dr Slaa anatakiwa Mafinga

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2008
Posts
5,404
Reaction score
239
Nimepata sms kutoka kwa rafiki yangu aliye Mafinga kuulizia yuko wapi Dr Slaa? Kwa maana Wanamafinga wanamngoja na kuongeza kusema ana kura nyingi sana pale.

Sikuweza kujibu yuko wapi na ratiba yake iko vipi, mwenye kujua ratiba yake ya leo na kesho, na lini atakwenda Mafinga atuwekee hapa ili nimjibu swahiba wangu huyo kwa ajili ya watu wa Mafinga wanaemtaka rais wao mtarajiwa awahutubie.
 
Ratiba iko tight sidhani kama atapita as next week anaenda Mbeya
 
Sikonge pia hafiki, too bad. Mwaka 2015 nagombea Sikonge kwa ticket ya Chadema.
 
Nashauri kama atapita kwa Gari, basi asimame kwa dk chache tu, kwa hakika Mafinga kuna kura Nyingi sana...
 
Akipita itakuwa vyema lakini hata kama muda hauruhusu walioko huku endeleeni kumpigia kampeni tu
 
Back
Top Bottom