YeshuaHaMelech JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 2,596 Reaction score 37 Oct 21, 2010 #21 Picha please. Ile ya mwanza ni kali, sijaona kampeni za chama chochote kujaza vile. Niko curious kuona hiyo. Anyway kuna mtu ameshuhudia kampeni za Peter kuga Mziray. Jamaa nafurahisha sana style yake!
Picha please. Ile ya mwanza ni kali, sijaona kampeni za chama chochote kujaza vile. Niko curious kuona hiyo. Anyway kuna mtu ameshuhudia kampeni za Peter kuga Mziray. Jamaa nafurahisha sana style yake!
Sir R JF-Expert Member Joined Oct 23, 2009 Posts 2,175 Reaction score 300 Oct 22, 2010 #22 Picha jamani.