Ilikuwa katika mkutano wa hadhara wiki iliyopita hapo Dar. Lakini wao watafanya nini na Panya, kwa vipi na kwa muda gani wakiingia madarakani? Isije kuwa na wao wataamua kukaa vikaoni na panya na kujadiliana ni jinsi gani ya kuwakamata bila kusababisha vurugu kwa watoto wapanya!
Mwanakijiji, hawa jamaa ni ndugu wa damu kabisa. Hapo tofauti ni saizi, tu lakini kama ni kula nafaka wote lao ni moja tu, hawana tofauti hao. Kwa hiyo si rahisi hata kuwawajibisha panya wenzao hata kama wanawatambua kuwa wanatafuna nafaka.
Yaani Tanzania yetu ingelikuwa na watu kama Slaa 10 tu hivi... haki ya nani tena tungelipiga hatua!! I really admire his stance on nationalistic affairs.
Yaani Tanzania yetu ingelikuwa na watu kama Slaa 10 tu hivi... haki ya nani tena tungelipiga hatua!! I really admire his stance on nationalistic affairs.