Dr Slaa ashangazwa na utaratibu mbovu wa tume ya jaji Warioba katika kupokea maoni .

Dr Slaa ashangazwa na utaratibu mbovu wa tume ya jaji Warioba katika kupokea maoni .

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2007
Posts
18,772
Reaction score
8,939
Dr Slaa ashangazwa na utaratibu mbovu wa tume ya jaji Warioba katika kupokea maoni . asema Tume haijajipanga.

<font size="4"><span style="color: rgb(51, 51, 51); font-family: arial, sans-serif; line-height: 17px;">
 
Last edited by a moderator:
So akashauri nini? Pembua habari yako kwa weledi
 
Tatizo lake alipeleka mabox kwani warioba alitaka mabox slaa mbona anachekesha sana,
tatizo la slaa anadhani kila mtu wa kudanganya warioba hadanganyiki na asijaribu kina cha maji kwa miguu yote miwili yatamchukua.
 
hicho kibabu na wenzake walitafuta njia ya kutafuna pesa za choper,chakula na imprest,wameshajaza mifuko yao wanatafuta visingizio. ampelekee hayo makaratasi yake J..............ne
Dr Slaa ashangazwa na
utaratibu mbovu wa tume ya jaji Warioba katika kupokea maoni . asema
Tume haijajipanga.

<font size="4"><span style="color:
rgb(51, 51, 51); font-family: arial, sans-serif; line-height:
17px;">
 
Last edited by a moderator:
Slaa anasema tume haijajipanga kwani yeye kajipanga na nini,
Aache kutukana tume bwana tena asipime kina cha maji kwa miguu yote miwili.
 
Back
Top Bottom