Tatizo lake alipeleka mabox kwani warioba alitaka mabox slaa mbona anachekesha sana,
tatizo la slaa anadhani kila mtu wa kudanganya warioba hadanganyiki na asijaribu kina cha maji kwa miguu yote miwili yatamchukua.
hicho kibabu na wenzake walitafuta njia ya kutafuna pesa za choper,chakula na imprest,wameshajaza mifuko yao wanatafuta visingizio. ampelekee hayo makaratasi yake J..............ne