Waungwana nimeshindwa kuhamisha habari toka kidau.blogspot ili tuijadili.Habari yenyewe inataka Dr.Slaa ashtakiwe kwa kumuita Rais fisadi.Naomba mtaalam anisaidie.
Heading yako Bomu!
Lakini pia unasema..."kwa kumwita RAIS FISADI"..rais nani?
My take:
Yeyote mwenye nia hiyo aifanye haraka sana, maana kuna shahidi lukuki za kuthibitisha ufisadi huo!
Ushahidi mmojawapo wa hilo ni kwamba HAWATATHUBUTU KUMSHITAKI DR SLAA....right?
hivi viblog vya uchochoroni ndio vinakusumbuwa? mimi binafsi siko interested na habari za kipuuzi kama hizo kutoka kwenye viblog vya wapuuzi wenzao. halafu rekebisha kichwa cha habari.
Waungwana nimeshindwa kuhamisha habari toka kidau.blogspot ili tuijadili.Habari yenyewe inataka Dr.Slaa ashtakiwe kwa kumuita Rais fisadi.Naomba mtaalam anisaidie.