You really dont have to react that way at all.., also dont condem people without facts, argue with fact ,listen to the loud and stupid, they too have their story, what you have quoted above everyone knows about it, what we dont know is why she mentioned what she did, you could start from there, but vuta pumzi kwanza..kunywa maji pia...
Ulipoanzia sikuwa nimekuelewa kabisa mkuu.Kama wewe huna cha kusema wengine tutasema,
mwambie Dr. Slaa kama amesema hivyo amefulia, Sofia Simba hajiuzulu, wala JK hamfanyi chochote! wala serikali haijapata aibu, walichopitia miaka hii minne kama ingekuwa serikali ya ibu tungeijua! mwambie slaa mshipa wa aibu serikali ya JK haina!!
Yeye Slaa aangalie kuiondoa CCM na sio kujificha chini ya JK, anaposema hivyo ina maana JK ni safi, poa, mchapa kazi n.k
Sofia Simba ameonyesha uwezo wa CCM, Slaa badala ya kuchukua kama point ya kupatia kura anataka kujikomba! aache kujikomba kwa JK; kutaja jina la JK kuwawajibisha mawaziri aliowateua ni ujinga!!! mna hakika gani kama hakupitia huko state house na vyombo vya usalama kupata ushauri? kwani hawana sheria zao kuwa kabla ya mswada upitiwe? SS hana tatizo baba! ni sanamu robot lingine next to JK akiambiwa simama anasimama
nani kawaroga jamani?? JK has nothing to do in this country, JK alitaka ujiko tu wa urais hana analoliweza na hakuna atakaloliweza achilia mbali kumuwajibisha SS!!
Huyo slaa naye kama amesema hivyo ajiuzulu upinzani; I am sick and tired mentioning the name of JK as if he is innocent!
wapinzani my foot! JK akimchukulia hatua Sofia Simba si ndio anapata kura yeye! halafu mnasema kuna upinzani 'nji' hii
Wapinzani wa Tanzania ukiwasikiliza sana unaweza ukaugua ukichaa, wapole, wanajikomba, statement zao sio za kipinzani, they dont take opportunity, yaani wapinzani nchi hii ni kama mabaraza ya wazee wa CCM!! au tume fulani za bunge!
We unazungumzia kabinet gani?This is a lesson that the MPs are not always on opposite sides when it comes to issues pertinent to our country. I think, we need a more balanced parliament in terms of opposition and the ruling party.
The Committee which prepared the bill may have not done their work thoroughly but again Hon. S.Simba must have taken the bill to the cabinet meeting before tabling it. How did it go through the cabinet which is chaired by His Excellency President of URT?
There may be a good motive for the bill but it was not well addressed or some flaws were left uncemented. This also send signals to the ministers to be well prepared for their bills before tabling to the parliament.
Kweli kuna vimeo lakini huyu kimeo cha juu kabisa mara apigane mara mipasho mara mswada usiokua na kichwa wala miguu akini JK KIMYAAAAAA!
Mfamaji,
..Wizara ya Utawala Bora[usalama wa taifa] iko chini ya Ofisi ya Raisi wa Jamhuri na Amiri Jeshi Mkuu.
..Sofia Simba ni Waziri wa Nchi ofisi ya Raisi Utawala Bora. kwa msingi huo Waziri Mhusika wa Wizara hiyo ni Raisi mwenyewe.
..kama mswaada huo una makosa mtu wa kwanza anayepaswa kuwajibishwa ni Waziri wa Utawala Bora, ambaye ni Jakaya Mrisho Kikwete, baada ya hapo ndiyo afuatie Waziri wa Nchi ktk wizara hiyo.
..mswaada hata kama unasomeka kama umeandaliwa kwenye saloon, lakini kiutaratibu lazima ulipitiwa na kujadiliwa kwenye Baraza la Mawaziri, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu, na baadaye Kamati ya husika ya Bunge. sasa katika hatua zote hizo kwanini wameshindwa kuuboresha?
NB:
..lawama kubwa kuhusu mswaada huu ni kwamba utampunguzia madaraka Raisi wa Jamhuri ktk masuala ya usalama wa taifa na ulinzi.
..kwa wale wanaoupinga mswaada huu naomba watupe sababu za msingi za madhara ya Raisi kupunguziwa madaraka hayo makubwa. ua pia wanaweza kutueleza manufaa ya kuendelea na mfumo tulionao sasa hivi.
Jokakuu,
Thanks a lot for your input; however, I would like to know what was in that proposed bill that irked members of parliament Frankly speaking, I am completely flabbergasted with Dr. Slaa's respond, I thought he would embrace this idea of keeping president's power in check. For so long, we have been complaining about the unchecked power vested on the president by our constitution. In addition, many scholars have also persuaded the parliament to amend the constitution in order to bring check and balance but to no avail. The mistake our politicians are making is to assume that every president will religiously follow the constitution . We are creating a big monster that one day will ..
..mswaada hata kama unasomeka kama umeandaliwa kwenye saloon, lakini kiutaratibu lazima ulipitiwa na kujadiliwa kwenye Baraza la Mawaziri, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu, na baadaye Kamati ya husika ya Bunge. sasa katika hatua zote hizo kwanini wameshindwa kuuboresha .
Sure my friend ndani ya bunge angesema bila woga kuwa "nadhani wananchi wanaona bomu lingine la CCM, hawafikiri usalama wa nchi n.k"
ange-wablast CCM wote, hapo ndio angewasha moto mzuri, kwanza unawadharau chama chote wapigane huko huko, lakini huku umejiwekea credit kuwa 'you see chadema wazuri'' kuongea sentensi yoyote itakayoonyesha utatuzi wa tatizo hilo ni CCM ni kuweka upinzani mbali na wananchi!
CCM has to go! msiwapambe pambe na kuwatenga 'wasafi' na wachafu, woote kuanzia JK mpaka madiwani wao wachafu sina cha kulinganisha!
Sielewi kwnaini msomaji wa mswada atakiwe kujiuzulu wakati walioutunga mswada huo wabakie hapo hapo. Kuundwa kwa Baraza la Usalama ni sera ya CCM; wamefanya majadiliano yao wao wenyewe ndani ya serikali katika kutekeleza sera hiyo na matokeo ndiyo hayo ya kuitungia sheria. Ili kuhakikisha kuwa sheria hiyo haipingani na Katiba Mwanasheria Mkuu na wanasheria wa Ikulu n.k wanaipitia n.k Ndiyo msomaji (waziri analetea kuijadili).
Sasa, wabunge wanayo haki ya kuhoji na kufanyia mabadiliko mswada huo kabla haujapitishwa na Bunge; kina Slaa, Ngwilizi, Malecela na wengine badala ya kuukataa tu walitakiwa wao wenyewe watoe maoni yao au mapendekezo ya mabadiliko (ammendments) ili uwe vile unavyopaswa na wabunge wajadiliane na upigiwe kura na wabunge wote.
Haitoshi kuukataa mswada na haitoshi kutaka SS awajibishwe. Dr. Slaa na Ngwilizi watunge mswada mbadala wa Baraza la Usalama wa Taifa kwani wanaruhusiwa kikatiba na wawashawishi wabunge wenzao kuuadopt huo na ikibidi ule wa serikali na wa kina slaa ipatanishwe na ndio waweza kupatikana mswada bora.
Kusema haufai haitoshi, pendekezeni unaofaa.