East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,206
Mh Mdee alimchana live bungeni huyo Leticia kwa kujipendekeza kwa magamba,na ilikuwa bungeni.
boban wamerejea wa kutosha kama hujajua. hadi ivisasa wamerejea 19 wachadema 8 Cuf 11
Dr Slaa aache vitisho. Kila mtu anatimiza haki yake ya kidemojrasia
Wakuu Katibu Mkuu wa CHADEMA ametoa angalizo hilo kwa mbunge wake atakeenda bungeni kusaliti wananchi.Hii imeripotiwa magazetini asubui.Pia imeripotiwa wabunge wa Ukawa wamerejea bungeni,huu ni upotoshaji,mbunge aliyerejea ni mmoja tu sio kama CCM wanavyopotosha
yeye mdee anamuonya kama nani
Only mchagga wana haki na chama
kweli kabisa ukawa ni ma kenge
SISI wananchi wa tanzania hatuwahitaji ukawa..watanzania tumechoka na ujinga wa ukawa
nimekudharau sana !
Nimeipenda hii "Shibuda ni Mbunge wa ccm kupitia chadema"