Ngambo Ngali
JF-Expert Member
- Apr 17, 2009
- 3,517
- 1,363
Mkuu Dr lazima apite kukusabahi maana kati ya watu walioshinikiza akubali kugombea Urais mwaka huu wewe umo. Juhudi zako zilionekana dhahiri na baadhi ya watu humu walikuona kama unapigia gitaa mbuzi. Ubarikiwe.Dr. Slaa, uliniahidi kuja kututembelea hapa SIKONGE.
Nafahamu sasa una majukumu mengi sana ila haitakuwa vibaya ukapita hata kwa dakika 10 wakati ukielekea Tabora.