Kikwete jiandae kukusanya kandambili na bakuli zako pale ikulu kwani kuna kila dalili Slaa ndio atakuwa mkazi mpya wa hilo jengo takatifu.
Kila sehemu ni hivyo hivyo halafu REDET wanakuja na utafiti wao wa kuchonga
Siku ambayo watanzania watamwambia JK "sasa basi!"
Msihofu, hizo ni njama za thithiem kudanganya umma. Methodology zinasemaje za hayo matokeo?, kati ya hao reseachers mbona hatu-collide nao tutoe nasi maoni yetu?Redet na synovate sijui wanatumia Sample za wanasisiemu so there is no realistic. Realistic ipo ndani ya mitandao kama jf, fb na mingineyo hiyo ndio inawakilisha maoni halisi kwani mtu haoni aibu yuko alone anapost ktk mtandao. So subiri uone mana kila njia inatumika kumuangusha Slaa lakini DR wa ukweli Slaa anazidi kukusanya watu. Please i need changes tupige kura kumuondoa JK madarakani.
Kwa udadisi mwepesi niliofanya kwenye facebook pages za Dr. Willbroad Slaa na ile ya "Dr" Kikwete, mpaka leo (Jpili) Slaa ana fans 11,442 wakati Kikwete ana fans 5019 (Jakaya Mrisho Kikwete for 2010).
My take: hata kama watumiaji wa facebook hawawakilishi idadi ya watanzania wote, hiyo tofauti ya "number of fans" bado inatuambia kitu. Kikwete jiandae kukusanya kandambili na bakuli zako pale ikulu kwani kuna kila dalili Slaa ndio atakuwa mkazi mpya wa hilo jengo takatifu.