everybody JF-Expert Member Joined Oct 30, 2010 Posts 337 Reaction score 103 Nov 3, 2010 #1 Hivi wadau haiwezekani kumshawishi yule aliyeshinda jimbo la Dr.Slaa ajiuzulu baada ya kuapishwa ili uchaguzi urudiwe Slaa agombee arudi mjengoni? Sheria inasemaje kwenye hili? Itakuwa pengo kubwa Slaa kuwa njee ya mjengo jamani...
Hivi wadau haiwezekani kumshawishi yule aliyeshinda jimbo la Dr.Slaa ajiuzulu baada ya kuapishwa ili uchaguzi urudiwe Slaa agombee arudi mjengoni? Sheria inasemaje kwenye hili? Itakuwa pengo kubwa Slaa kuwa njee ya mjengo jamani...