Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
Hivi Chadema wana nani anayefanya kazi ya kupiga domo wakati huu wa kampeni kama CCM walivyokuwa na Makamba?
Makamba alitakiwa ajibiwe na mtu mwingine Chadema mwenye kazi hiyo (level ya Makamba) na sio Dr Slaa ambaye anagombea uraisi.
Mpaka wakati huu namsikia Dr Slaa peke yake....where is the team?
Dr. Slaa,
Majuzi ulilazimika kusimama kwenye kampeni ukatufungulia maisha yako na mahusiano yao na mchumba wako Bi. Josephina.
Hii ilikuwa ni nia wako kuweka sawa kile ambacho CCM wameanza kukifanya cha kukupata tope la kutokuwa muadilifu kwa kuangalia mahusiano yako na Bi. Rose na Bi. Josephina.
Umeshatoa jibu moja na linatosha. Hauna haja ya kuendelea kutoa hadithi hii au ufafanuzi wa ziada kwa mtu yeyote yule tena.
Lakini, katika majibu yako na kufafanua kwako mahusiano yako ya kiunyumba/ndoa, uliingia kwenye mtego uliotegwa makusudi.
Ulijibu hoja kwa kuwahoji Yusuphu Makamba na Kingunge Ngombare Mwiru na kuwahoji maisha yao na mambo walioyafanya kama vile kuonyesha kuwa wao nao si Waadilifu au hawana mamlaka ya kuongea kuhusu uadilifu.
Mheshimiwa Dr. Slaa, Makamba na Kingunge au yeyote yule wa CCM ambaye si Kikwete si wagombea Urais na hawana lolote lile la maana na wapuuzie bila kupoteza muda wako kujibishana nao.
Wewe unayeshindania naye urais ni Kikwete, he should be your Target and not the attacj dogs.
Sasa hawa wanakuchezea mchezo ule ule waliomgfanyia Salim, nawe tafuta attack bulldogs wako washambulie haya mengine na wewe ubakie kufanya Kampeni za kujinadi wewe na Chama chako na ni nini mtafanya kwa Tanzania.
Aidha kampeni zako ziwekeze kuchambua miaka mitano ya Kikwete na miaka 50 ya CCM hususan miaka 20 ya mwisho na si maisha binafsi ya mtu.
Angalia sana unaweza potea muda jibishana na Makamba mambo ya Udaku ambayo si presidential material nawe ukapoteza nguvu na nafasi ya kuwaambia Watanzania kwa nini KIkwete na CCM hawafai.
You are presidential candidate, with presidential image and credibility, stivk to presidential status and do not allow any one to Swift boat ypu the way Kerry was Swift boated in US elections of 2004 ending up spending a whole heck of time and campaign time fighting Swiftboaters and not addressing the incompetencies of George Bush.
Attack Kikwete on his leadership and his failure to bring progressive development to Tanzania.
Sina chama jamani....!! WTF!!! mzee wenu na nani?Nilisema,ninasema na nitarudia kusema kuwa Dr.Slaa anaelekea kufilisika kisiasa...anajichimbia karibu lake mwenyewe.just imagine ma week mangapi yamepita toka campaign zianze...actualy ni muda mrefu bt cha kushangaza huyu jamaa mwenye Ph.D ya Divinity hanadi sera wala ilani(manifesto) ya chama chake...yeye ni kupiga zogo na mipasho majukwaani...alianza na makamba,akaja Kinana,then Pinda na mzee wetu Mkapa...jamani wana CHADEMA kama mpo(coz mm sina chama jamani) mwambieni SLAA anadi sera coz we are not interested na mipasho yake and his marriage saga la sivyo heshima yake itazidi kushuka....
Valid point, lakini ukweli ni kuwa Dr. Slaa anaongea sana sera mkuu, ni only a few seconds huwa anarespond to some mud toka CCM leaders na magazeti yake. Kinachotokea ni kuwa hizo sera mara nyingi huwa haziwi picked na kuandikwa kwenye magazeti isipokuwa ni hayo majibu ya 'kusisimua' if you like.
It's worth noting pia kuwa sera ni higher level-strategic intents ambazo zinaweza kuwa ngumu sana kueleweka kwa watu wetu wengi wa vijijini, ni mpaka pale mtu atakaposema ntawaletea uwanja wa ndege wa kimataifa Bukoba vijijini or whatever it is.
Mfano mzuri ni pale Jangwani wakati wa ufunguzi wa mkutano wa CHADEMA, watu walikuwa wengi na wapo excited mabomu ya Marando na wenzake yalipokuwa yanamwagwa na pindi Dr. Slaa alipoanza kuongea sera niliona baadhi ya watu walianza kuondoka.
So far Dr. Slaa is doing much better, na magazeti makini kama Mwananchi, TZ Daima, Raia Mwema na Mwanahalisi yamekuwa yakiandika key policy points za CHADEMA.
Nilisema,ninasema na nitarudia kusema kuwa Dr.Slaa anaelekea kufilisika kisiasa...anajichimbia karibu lake mwenyewe.just imagine ma week mangapi yamepita toka campaign zianze...actualy ni muda mrefu bt cha kushangaza huyu jamaa mwenye Ph.D ya Divinity hanadi sera wala ilani(manifesto) ya chama chake...yeye ni kupiga zogo na mipasho majukwaani...alianza na makamba,akaja Kinana,then Pinda na mzee wetu Mkapa...jamani wana CHADEMA kama mpo(coz mm sina chama jamani) mwambieni SLAA anadi sera coz we are not interested na mipasho yake and his marriage saga la sivyo heshima yake itazidi kushuka....
Dr. Slaa,
Majuzi ulilazimika kusimama kwenye kampeni ukatufungulia maisha yako na mahusiano yao na mchumba wako Bi. Josephina.
Hii ilikuwa ni nia wako kuweka sawa kile ambacho CCM wameanza kukifanya cha kukupata tope la kutokuwa muadilifu kwa kuangalia mahusiano yako na Bi. Rose na Bi. Josephina.
Umeshatoa jibu moja na linatosha. Hauna haja ya kuendelea kutoa hadithi hii au ufafanuzi wa ziada kwa mtu yeyote yule tena.
Lakini, katika majibu yako na kufafanua kwako mahusiano yako ya kiunyumba/ndoa, uliingia kwenye mtego uliotegwa makusudi.
Ulijibu hoja kwa kuwahoji Yusuphu Makamba na Kingunge Ngombare Mwiru na kuwahoji maisha yao na mambo walioyafanya kama vile kuonyesha kuwa wao nao si Waadilifu au hawana mamlaka ya kuongea kuhusu uadilifu.
Mheshimiwa Dr. Slaa, Makamba na Kingunge au yeyote yule wa CCM ambaye si Kikwete si wagombea Urais na hawana lolote lile la maana na wapuuzie bila kupoteza muda wako kujibishana nao.
Wewe unayeshindania naye urais ni Kikwete, he should be your Target and not the attacj dogs.
Sasa hawa wanakuchezea mchezo ule ule waliomgfanyia Salim, nawe tafuta attack bulldogs wako washambulie haya mengine na wewe ubakie kufanya Kampeni za kujinadi wewe na Chama chako na ni nini mtafanya kwa Tanzania.
Aidha kampeni zako ziwekeze kuchambua miaka mitano ya Kikwete na miaka 50 ya CCM hususan miaka 20 ya mwisho na si maisha binafsi ya mtu.
Angalia sana unaweza potea muda jibishana na Makamba mambo ya Udaku ambayo si presidential material nawe ukapoteza nguvu na nafasi ya kuwaambia Watanzania kwa nini KIkwete na CCM hawafai.
You are presidential candidate, with presidential image and credibility, stivk to presidential status and do not allow any one to Swift boat ypu the way Kerry was Swift boated in US elections of 2004 ending up spending a whole heck of time and campaign time fighting Swiftboaters and not addressing the incompetencies of George Bush.
Attack Kikwete on his leadership and his failure to bring progressive development to Tanzania.
Wako huku....
Mbowe(Hai)
Zitto(Kigoma)
Mnyika(Ubungo)
Mdee(Kawe)
Mkwe1(Hanang)
Rev Kishoka
Uko sahihi kabisa. Dr. Slaa asipoteze muda kubishana na taahira Makamba. Dr. Slaa tuanchie sisi tutakula sahani moja na makamba pale atakapoendelea kuleta upuuzi wake.
You don't have any other option, but to be with CCM because you can co-exist, it is symyotic; corruption ifested CCM is your main host. You know you guys why you cannot be in opposition? Only two of these 1. Your citzenship will be questioned 2. You cannot survive because you cannot live without corruption, you know it very well.We need CCM, the party of all races. The party that doesn't discriminate but cares for the minority Tanzanians
We need CCM, the party of all races. The party that doesn't discriminate but cares for the minority Tanzanians