Elections 2010 Dr Slaa: CCM ni wezi wa kura wananchi lindeni kura zenu

Elections 2010 Dr Slaa: CCM ni wezi wa kura wananchi lindeni kura zenu

Kalunguine

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2010
Posts
2,543
Reaction score
134
Rais mtarajiwa wa tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amethibitisha kuwa CCM ni wezi wa kura na kwamba mahakama ilishathibitisha na kutoa hukumu aliyoshinda Slaa kuwa CCM walimwibia kura 5000, lakini bado alishinda. Slaa anasisitiza safari hii Wananchi walinde kura zisiibiwe na CCM.
 
Nani aibe kura, hata mpige kura za mlolongohamtoboi hapa
 
Wakala lazima muwe macho msilale usingizi au kudanganywa kwa vijisenti. Muwe macho hasa pale matokeo ya mwisho yanaandikwa katika karatasi ya matokeo hapo ndio ujanja unatumika wa kimahesabu. Tena mkodolee macho kabisa zisijepachikwa figure za ajabu mkashangaa. Mpepese macho kama ndege msikubali kukaa pembeni kusubiri. :bowl:
 
sisiem kwa wizi hawana mpinzani...! Kwanzia kura hadi epa.....! Tuwe machoooo!
 
Ikibidi mawakala wale mikate siku hiyo ili wasiende haja sana, hata kukojoa ni hapana jamani siku moja au mbili si mbaya kujitoa kwa taifa. Tutaweka katika historia ya nchi yetu kama mashujaa.
 
Ikibidi mawakala wale mikate siku hiyo ili wasiende haja sana, hata kukojoa ni hapana jamani siku moja au mbili si mbaya kujitoa kwa taifa. Tutaweka katika historia ya nchi yetu kama mashujaa.

Au high calorie biscuits kama wanazokula wanajeshi wakiwa vitani
 
Jana niliopkea SMS ikitaka kujua uwezekano wa kura yangu kupigwa Zanzibar! Mimi ni mtanzania naishi West Africa! Ni tanzania bara! Hawa jamaa wanahaha!
 
Back
Top Bottom