Dr. Slaa: Daftari la wapiga kura liboreshwe kabla ya kura ya maoni!

Huyu mzee anadhani serikali inafanya kazi kwa remote kutoka ufipa? Aache kelele zake za chura. By the way next election chama cha upinzani kitakuwa either Nccr au Cuf kwahiyo ngebe zao zitakwisha.
 

Slaa hoja hana kabisa kaanza kubabaika masuala ya gongo na sasa anakuja kuleta kelele zake za chura huku.
 
Wewe uliona sababu zake na kukimbilia kuanzisha uzi .Hukuona haja ya mantiki ya alichosema.Ni kwanini serikali haitaki kuboresha Daftari hilo?

Mkuu Ben; Kwa kupitia ile Sheria tu uwezekano wa kila raia mtanzania mwenye Umri wa miaka 18 kushiriki kura ya maoni bila Urasimu ulikuwapo lakini kwa sababu wanataka WanaCCM wasiozidi Milioni mbili tu ndiyo washiriki na kuamua kwa niaba ya 30 milioni ya watanzania.

Mwanzo Kabisa mimi nilikuwa na Maoni haya kupitia Thread hii;Na jambo hili lisingehitaji Marekebisho ya Daftari ya Mpiga kura yenye kuhitaji Gharama na Muda!




Naunga Mkono msisimamo wa CDM kupitia Katibu Mkuu.
 
Hatutaki maboresho ya zimamoto kama 2010 tunataka muda wa kutosha.ujanjaujanja wa maccm haunanafasi.
 
Bwana Chongs, ukatibu mwenezi hauendi kwa njia hiii, huu sio ukatibu uenezi huu sijui hata tuuiteje sasa, Isomwe na @mhomaedi Mtoi
 
Kwani Chadema isipo shiriki inamadhara gani kwa raia maskin,tena ikiwezekana wajitoe katika siasa za Tz
 
Dr.Slaa, ni mwanasiasa ambaye hadumu kwenye misimamo yake. Dr.Slaa huyu huyu alisema alishinda uchaguzi 2010 ila CCM kupitia usalama wa taifa wakabadili matokeo, Dr.Slaa huyu huyu akaja kubadilika na kusema Nusu ya usalama wa Taifa wanamsapoti yeye hivyo huwa wanaripoti kwake kila kinachoendelea. Kumwamini Dr.Slaa ni kuchezea kamari na maisha yako.
 
Mkuu pia kama alishinda uchaguzi CCM ikampora asie na wasiasi kwani wapiga kura wengi waliosajiliwa wanampenda na watapigia kura mapendekezo ya CDM asiwe na wasiwasi, aache kutokwa povu
 
vijana wa lumumba mmejivua ubinadamu kabisa sasa mnafikiri kwa kutumia sijui masabuli hivi hizo ni hoja muhimu au sio hoja muhimu?ritz sixgater lizaboni tumieni vichwa kufikiri si kufuga nywele
 
Serikali inatakiwa iweke utaratibu wa kuboresha daftari la wapiga kura walau mara moja baada miezi mitatu ili kuwawezesha wananchi kupiga kura wakati wowote hasa kwenye chaguzi ndogo za.ubunge na udiwani

Mkuu utaratibu huo ni rahisi iwapo serikali itaunganisha mifumo yote ya utambuzi ya mtu, mfano..vizazi na vifo, Nida, NEC, Immagration(Passport) na TIN kutakuwa hakuna haja ya kurekebisha maana mtu akifa anapewa death certificate and all systems zinakuwa updated automatical kuwa huyu mtu amekufa, na wale wenye Umri wa 18 systems automatically inawatambua kama wapiga kura halali
 
Hivi ni lini serikali imetangaza halitarekebisha daftari la wapiga kura? Aliesikia hilo tangazo atujuze.
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi aliongea hilo. Anadai muda uliobaki ni mfupi kufanya maboresho kwenye daftari la wapiga kura. Wakati mswada unapitishwa serikali hii hii iliahidi kutafanyika maboresho ya daftari hilo. Aidha Wazanzibar wenye matatizo na ID za ukaazi walitakiwa kujisajili na NEC kwa ajili ya kuwawezesha kupiga kura za maoni.
 
Wewe uliona sababu zake na kukimbilia kuanzisha uzi .Hukuona haja ya mantiki ya alichosema.Ni kwanini serikali haitaki kuboresha Daftari hilo?

Tofauti na kazi ya kubeba sumu, tindikali na kushambulia mtu anayeonekana kuwa mawazo tofauti na CDM una kazi nyingine inayokuingizia kipato?

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 

kwa kuwa KATIBA ni ya watanzania wote,ni vyema wale waliofikisha umri wa kupiga kura nao wapate nafasi hiyo,kwani umri ni endelevu na ni vyema kwa wale ambao umri wao sasa ni miaka 18 na hawakuwepo ktk daftari wapewe nafasi hiyo.
ama unaonaje?
 
NEC na CCM Wameanza chenga zao.

NEC kaeni na Vyama vyote vya SIASA na ijulikane ni shs ngapi zinatakiwa ili pesa zipatikane kwa Harambee

Wananchi tupo Tayari kuchangia ili kupata Demokrasia kamili, Tume huru ni lazima

Kituo cha Demokrasia na Kituo cha haki za binadamu angalieni hili
 
hahahahaha namuona mbowe na diaba la kukusanyia pesa kama m4c vile.
 
niko tayari kuchangia kiasi kikubwa cha pesa ili kuwezesha uboreshaji wa daftari , ADUI WA KWANZA WA DEMOKRASIA NCHI HII NI HILO DUDU LINALOITWA TUME YA UCHAGUZI .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…