Elections 2010 Dr.SLAA Hataukaribia ushindi


MOD, please ulituahidi kulifanyia kazi ombi letu la kutuwekea Button ya "Shame" as opposed to that of "Thanks", mbona hujatuwekea?
 
mwisho wa sisi M unakaribia. labda watafute herufi nyingine badaala ya M kutoka A-Z , sisi A? labda sisi K ? nooo! sisi Z itawafaa.
Kufuatilia maisha binafsi ya mgombea wa nafasi yoyote ya uongozi ni upuuzi mtupu na ni siasa za maji taka.Tukitaka tuanze kumvua nguo mgombea mmoja baada ya mwingine mbona itakuwa balaa!
Tuachane na huo ujinga! watanzania sio wajinga hivyo wa kudanganyika eti...amepora mke wa mtu? ongeleeni sera zenye kuleta maendeleo kwa nchi hii
 

Wishful thinking!!! Ili uishinde CCM inabidi uwashinde wafuatao:-

  • Ofisi ya Rais
  • Wizara, idara za serikali, na mashirika ya umma
  • Tume ya Uchaguzi
  • Msajili wa Vyama
  • Jeshi la Polisi
  • Jeshi la Wananchi wa Tanzania
  • Idara ya Usalama wa Taifa
  • Mahakama
  • Serikali za Mikoa kwa maana ya wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya
  • Halmashauri za manispaa, miji na wilaya - kwa maana ya wasimamizi wa uchaguzi - ambao ndio wanatangaza mshindi (na si lazima awe na kura nyingi)
  • Kundi kubwa la mafisadi ambao wanamiliki vyombo vya habari na magazeti.
Je CHADEMA wamejipanga kuwashinda wote hapo juu au wanamwangalia Makamba na Kinana pekee?
 

Ndio maana nasema CCM ya leo inaungwa mkono na vichwa maji...
 

Undumila kuwili wa wana-CCM

Jionee mwenyewe shabiki wa siasa za ccm anavomzalilisha waziri mkuu wake

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/35680-can-you-read-the-face-of-this-leader.html
 
Jamani mnamuelewa huyu< Amekurupuka kutoka wapi huyu? Tizama amekuwa memba tangu lini utagundua tu, makapi yepi wanaharakati wepi...!
 

Mwiba prediction zako tumezizoea na huwa hazizai matunda........mfano angalia hiyo post hapo chini uliyowahi kuitoa kipindi cha chuma. Leo yako wapi?

Re: Kikwete amtema rasmi Lowassa
Nawambia kuwa Karume mnae mkitaka msitake 2015 ,ni Raisi atakaetawala Tanzania kwa kipindi cha miaka kumi..niliwahi kusema as a TETESI ,je leo ukweli si umeanza kuchomoza :-


Karume Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano


Kuna tetesi kuwa Rais wa Seikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mheshimiwa Abeid Amaan Karume kuwa atapewa nafasi ya kugombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM 2015,habari zimezidi kuelezea kuwa yeye ndie atake kuwa mrithi wa Kikwete baaada ya Mheshimiwa Kikwete kumaliza ngwe yake 2015. Maandalizi ya kumuwezesha Mheshimiwa Karume kukubalika ifikapo mwaka 2015 yameanza na kufanya ziara za mara kwa mara katika mikoa ya Tanzania Bara ili kumjenga kwenye macho ya wananchi.

Hii inasemekana imetokana na utamaduni ambao kuna haja ya kuona unaendelezwa wa kupokezana nafasi ya kiti cha Urais wa Tanzania kwa upande wa bara na visiwani.Baada ya kokosekana wakati alipoondoka Mheshimiwa Benjamin Mkapa.

Pia habari zimezidi kutonya kuwa upo uwezekano wa mgombea huyo kupitia CCM kusimama katika kugombea kiti hicho kwa uchaguzi mkuu ujao 2010 endapo Rais Kikwete akiamua kupumzika, habari za wachunguzi wa mambo ya siasa wameona jitihada za Mheshimiwa Karume kuwekwa mstari wa mbele katika shughuli nyingi za Kichama hapa Tanzania Bara na Chama chake.
Embu rudieni hapa
https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-...-muungano.html
 

PEOPLE IN WORK; UCHAGUZI UKIISHA MNAKUWA MMEMALIZA KAZI ZENU

RAJ PATEL JR
Member

Join DateWed Sep 2010Posts25Thanks : 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power0
 


Wanaotumiwa na na kuhongwa na CCM wanajulikana kirahisi sana!
 

Kwenye idara zote hizo za Serikali ulizotaja kuna Watanzania, wanaoiunga mkono CCM na wanaoiunga mkono CHADEMA. Haiwezekani wote wakawa upande wa CCM pekee.

CHADEMA na wapenzi wake kwenye idara zote hizo, ndio maana unaona taarifa ambazo hazipaswi kutolewa hadharani zimetolewa na hakuna aliyechukuliwa hatua kali za kisheria.

Usiwadharau Watanzania tafadhali!
 
kwa hiyo atakayeshinda ni huyo Professor Lipumba? Your joking dude! Kwa taarifa yako labda mshirikiane na boss wenu sisi m kuchakachua kula sio rahisi huyo Lipumb..... ashinde. Bila shaka yeye atakuwa wa tatu nyuma ya sisi m

That means mnajua kuwa nyie ni wa pili na hamtashinda sasa hamuoni kama mnakubali kama meingia kuharibu uchaguzi? wenzenu wanawalalamikieni ilhali mlikuwa mtuache sisi na cuf tujifue wenyewe tumeshazoena maana tukimaliza uchaguzi wanalia kisha tunawabembeleza tunasahau yaliyopita tunajenga nchi....

CUF sio kama chadema wao wanaangalia maslahi ya nchi kwanza nyie chadema mmeweka udini mbele na chuki za kijinga... angalieni sana
 
kweli kabisa hataukaribia ushindi kwa sababu:
-ccm wanatumia pesa nyingi kurubuni wapiga kura (kila baada ya miaka5 watz wananunuliwa pilau na pombe za kienyeji)
-ccm wanachakachua kura hata za upinzani rejea mambo ya mbeya
-ccm ina uwezo wa kutumia mabango ya serikali bila kuchukuliwa hatua

nguvu ya slaa imo mikononi mwa wananchi...........NA DR.SLAA ATASHINDA KWA KISHINDO CHA AJABU KWANI WATZ WAMECHOKA NA HII SIO LAZIMA UWAULIZE KWANI NDIYO HALI HALISI YA MAISHA YAO.
-watz wa sasa wameanza kubadilika taratibu bado hawajaacha kula rushwa ila na hawaichagui ccm
 
One day nilipita maeneo ya fulani nikamkuta mtu anaishi a very miserable life amembeba mkewe kwa mkokoteni wa kukokotwa na Punda anampeleka kwa disp kama 10 km ivi.
Nikamuonea huruma,nikampa lift ili afike haraka na mkewe bse ni matendo ya huruma hayo +thawabu.
Njiani nkawa namhoji mbona uku hamna ata disp karibu na makazi ya watu akanambia mbunge ameahidi sasa ni 10years na mwaka huu tutampigia labda atajenga.
YAANI Hajui kuwa his miserable life kwa kiasi kikubwa imesababishwa na huyo mbunge wa chama fulani na chama chake.
UNAWEZA KUTA ATA MWIBA HAJUI WHY TZ TUKO KWA DIMBWI LA UMASKINI WITH ALL THE MADINI,MBUGA,MABONDE ETC
 


kama hukuwa na mawazo ya dr slaa ya kumrudia akipoa ubanjue basi ubarikiwe
 
Oh My God, I thought it has been given more than 40 years...is n't the business finished yet?

Mkuu, hujamuelewa huyo Patel. Anasema kuna unfinished business inayotakiwa iachiwe ifikie kikomo kabla hatujaondoa tonge mdomoni. Anasema, miaka mitano tu inatosha kutumaliza kabisa, sasa tumuachie Rais aliewawezesha wao kufurahia matunda ya uhuru wa wengi na kuwaacha wengi wakiwa watumwa katika nchi yao.

Yuko very clear on the agenda. Ni ombi tu la kuiachia serikali iliyomaliza muda wake kuwaachia akina Patel kuendelea kumiliki uchumi wote wa nchi hii. Tatizo ni kwamba, CCM ikishinda this time, nchi haitaweza kufikia demokrasia kamili tena. Uchumi utakuwa irreparable, na masikini watabaki na umasikini wao wakati kundi dogo litaamua mustakbali wa nchi nzima kwa miaka mingi. Kitakachotuondoa katika hali hiyo itakuwa ni revolution pekee.

Tanzania ina nafasi ya pekee kurudisha nchi kwa wananchi na kuweka nidhamu mpya ya uongozi wa nchi. Tukipoteza nafasi hii adimu, nina uhakika kuwa hatutaweza kuipata tena bila kumwaga damu.

Kuna watu wanaodhani uchaguzi huu unamlengo wa vyama. Hakuna kitu kama chama katika uchaguzi wa 2010. Wananchi wameamua bila kujali itikadi zao kuwa, sasa inatosha na mabadiliko ni lazima. Imani yangu ni kuwa azma hii itafanikiwa kama kila mtu ataamua kwa dhati kuilinda na kuitetea nchi yake kwa kuamua kuchagua kiongozi bora zaidi kwa taifa letu.

Mimi ni mwana CCM, ila sitampigia kura Rais wa CCM this time. Niko tayari kwa lawama kutoka kwa mtu yoyote. Maana imani yangu itanisuta kama nitaendelea kuendekeza imani za chama hata kama nchi inateketea.
 

Hayo ni mawazo ya kipumbavu ambayo ni wapumbavu wenzio tu wanaweza kuyaelewa.
 

wewe mtu wa nchi nyingine... unatakia nini mambo yetu.... rudi huko huko kwenu Zanzibar!
 
Wacheni hasira ,narudia tena Slaa hashindi uchaguzi na wala Chadema hawashindi ,tayari vyama rafiki vya Chadema vimemtaka ajiuzulu kutokana na kashfa iliyomkumba.

Nyie mnaomtetea Slaa kwa hili mnakasoro au kwa lugha ingine ni mataahira (samahanini kwa kutumia neno hilo) nikimaanisha ya kwamba hapa JF paliwahi kutolewa picha za Kikwete na hata blogu moja kufungwa ,sababu na mambu ni haya haya ya akina Slaa.Wacheni kumkumbatia Slaa kwani ameshapoteza sifa ya kuwa Raisi ,labda kama mmekusudia kuweka dictetor sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…