Hahahahahaha! Ndugu Rutashabanyuma unasema nenda, nenda, nenda, nenda DR SLAA? Lakini tumuombee asiende kimoja arudi mwaka 2015 panapo uhai ili atoe changamoto zaidi. Hata kama hatagombea awaandae wakina Kabwe watakuwa wameshafikia umri wa kugombea uraisi. Au unasemaje ndugu yangu?