KunjyGroup
JF-Expert Member
- Dec 7, 2009
- 352
- 26
nadhani anamaanisha by implication hana evidence. It is a political game
Upupu mtupu, unaongelea kodi? Unajuwa kuwa kwa miaka yote kabla ya Kikwete kodi inayokusanywa haikuchangia hata hamsini kwa mia ya bajeti yetu? Tumeona wakati wa Kikwete hali hiyo ikipanda hadi kufikia kuwa sasa tunachangia asilimia sitini ya bajeti yetu kama si zaidi. Tena kupunguka, bajeti imepanda maradufu! Au hilo hulioni?
Huyu Silaa anatafuta kuanzisha choko-choko za uvunjifu wa amani, kila analosema linaashiria kuwa si mwana-siasa bali ni limbukeni na sasa kapata sehemu ya malimbukeni wenzake nao wanamsikiliza bila kuhoji wala kupima. Akumbuke, hatuta ona amani ya Tanzania inavunjika kwa mtazamo wake hasi. Kama ana ushahidi wa hayo si apeleke bungeni na kama hana ushahidi na anaongea pumba ajuwe ndio mwanzo wa mwisho wa fitina zake. Atashughulikiwa kisheria.
Walisha kuwepo watu wa kanisa wenye choko choko kama yeye, mfano ni Mtikila, huyu kwisha nyamazishwa. Sasa huyu hayaoni hayo, na yeye inapaswa sasa anyamazishwe kama mtikila. Na hivyo ndivyo itavokuwa maana kushindwa kwake kura sasa analeta chokochoko.
Ni kweli Katiba ya sasa ya Jamhuri Ibara ya 46A (3) (b) inatoa mamlaka kwa Bunge kuunda kamati ya kuchunguza mashtaka dhidi ya rais kwa hoja ya kutokuwa na imani naye. Hoja ambayo lazima kwanza isainiwe na asilimia 20 ya wabunge kisha mtoa hoja aitoe Bungeni kabla ya kupigiwa kura na kuungwa mkono na theluthi mbili. Ninachojiuliza jee wabunge wa Upinzani hawafiki 20%? kama wanafika kwa nini isitengenezwe hoja nzito ya kusababisha yote yawe hadharani hata kama hiyo thelusi mbili haitapatikana wakati wa kupiga kura ili kupata kamati ya kumchunguza, sisi wananchi tutafahamu fika kuwa Rais ameokolewa na wabunge wa CCM bali ukweli tayari utakuwa wazi. Hilo litakuwa pigo takatifu.katika katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania na kanuni za bunge kuna kifungu kinacho wakilishwa na mbunge bungeni cha kumtoa rais madarakani,na huwa wanajadili wabunge wote na wale wanaompinga wafikie asilimia 20%
Umebaki peke yako tu. Wenzako wote washachoka kubeba zigo la m.a.v.i
Huyu sio Rais, Ila ni mwizi.
Is a hooligan, thug and a killer of his own people!! Hajawahi kuwa genuine
Hata mimi nahisi wanweza ku-ban like ze Utamu nawombeni wataalamu mtuhamishie wiki leaks Ulimwengu mzimz wayajue haya mambo maana toka jana ile thread ya Invisible na hii ya Rutashubanyuma zinatisha.Naogopa ban otherwise ze utam could be absolutely right?
Upupu mtupu, unaongelea kodi? Unajuwa kuwa kwa miaka yote kabla ya Kikwete kodi inayokusanywa haikuchangia hata hamsini kwa mia ya bajeti yetu? Tumeona wakati wa Kikwete hali hiyo ikipanda hadi kufikia kuwa sasa tunachangia asilimia sitini ya bajeti yetu kama si zaidi. Tena kupunguka, bajeti imepanda maradufu! Au hilo hulioni?
Huyu Silaa anatafuta kuanzisha choko-choko za uvunjifu wa amani, kila analosema linaashiria kuwa si mwana-siasa bali ni limbukeni na sasa kapata sehemu ya malimbukeni wenzake nao wanamsikiliza bila kuhoji wala kupima. Akumbuke, hatuta ona amani ya Tanzania inavunjika kwa mtazamo wake hasi. Kama ana ushahidi wa hayo si apeleke bungeni na kama hana ushahidi na anaongea pumba ajuwe ndio mwanzo wa mwisho wa fitina zake. Atashughulikiwa kisheria.
Walisha kuwepo watu wa kanisa wenye choko choko kama yeye, mfano ni Mtikila, huyu kwisha nyamazishwa. Sasa huyu hayaoni hayo, na yeye inapaswa sasa anyamazishwe kama mtikila. Na hivyo ndivyo itavokuwa maana kushindwa kwake kura sasa analeta chokochoko.
Hii ndiyo ile ambayo kamati ya Dr. Mwakyembe alisema mengine hawakuyatoa hadharani kwa sababu za kiusalama ( wa Taifa)!!!! Hivi usalama wa Taifa ni usalama wa Kikwete au wa wananchi? Ni usalama gani wa taifa wakati mkulu mwenyewe ndiye anayetusaliti?
Upupu mtupu, unaongelea kodi? Unajuwa kuwa kwa miaka yote kabla ya Kikwete kodi inayokusanywa haikuchangia hata hamsini kwa mia ya bajeti yetu? Tumeona wakati wa Kikwete hali hiyo ikipanda hadi kufikia kuwa sasa tunachangia asilimia sitini ya bajeti yetu kama si zaidi. Tena kupunguka, bajeti imepanda maradufu! Au hilo hulioni?
Huyu Silaa anatafuta kuanzisha choko-choko za uvunjifu wa amani, kila analosema linaashiria kuwa si mwana-siasa bali ni limbukeni na sasa kapata sehemu ya malimbukeni wenzake nao wanamsikiliza bila kuhoji wala kupima. Akumbuke, hatuta ona amani ya Tanzania inavunjika kwa mtazamo wake hasi. Kama ana ushahidi wa hayo si apeleke bungeni na kama hana ushahidi na anaongea pumba ajuwe ndio mwanzo wa mwisho wa fitina zake. Atashughulikiwa kisheria.
Walisha kuwepo watu wa kanisa wenye choko choko kama yeye, mfano ni Mtikila, huyu kwisha nyamazishwa. Sasa huyu hayaoni hayo, na yeye inapaswa sasa anyamazishwe kama mtikila. Na hivyo ndivyo itavokuwa maana kushindwa kwake kura sasa analeta chokochoko.
Ni kweli Katiba ya sasa ya Jamhuri Ibara ya 46A (3) (b) inatoa mamlaka kwa Bunge kuunda kamati ya kuchunguza mashtaka dhidi ya rais kwa hoja ya kutokuwa na imani naye. Hoja ambayo lazima kwanza isainiwe na asilimia 20 ya wabunge kisha mtoa hoja aitoe Bungeni kabla ya kupigiwa kura na kuungwa mkono na theluthi mbili. Ninachojiuliza jee wabunge wa Upinzani hawafiki 20%? kama wanafika kwa nini isitengenezwe hoja nzito ya kusababisha yote yawe hadharani hata kama hiyo thelusi mbili haitapatikana wakati wa kupiga kura ili kupata kamati ya kumchunguza, sisi wananchi tutafahamu fika kuwa Rais ameokolewa na wabunge wa CCM bali ukweli tayari utakuwa wazi. Hilo litakuwa pigo takatifu.
Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili, Dk. Slaa, alisema kitendo cha Rais Kikwete, kutangaza kuwa ameunda tume ya kuanzisha mchakato wa uundwaji wa Katiba mpya na atateua kiongozi na wajumbe kinaashiria kuendeleza udikteta wa uongozi.
Alibainisha kinachotakiwa kuanzishwa hivi sasa ni Constitutional Assembly au Baraza la Katiba (Bunge la Katiba) ambalo ndilo litakalokuwa na wajibu wa kuratibu kura za maoni ya wananchi juu ya uundwaji wa Katiba mpya.
Alisema kitendo cha Rais Kikwete, kutangaza kuunda tume ni kiini macho na kinadhihirisha hana nia ya kutaka kuundwa kwa Katiba mpya.