Dr. Slaa: Kikwete mmiliki wa DOWANS...

Sometime you wonder if JK know his postion is about Decision Making and not Decision Supporting.

While great thinkers wengi humu tilimjua na kumjadili January makamba mtu amabye ni mdogo na hakuwa na role nyeti sana .Naona tuwafukue na tuwajue watu muhimu walioko nyuma ya pazia . Nani ni mshauri wa JK ikulu kwenye mambo ya

  • Uchumi,Uwekezaji,
  • Nishati,Mawasiliano(ICT),miundombinu
  • Viwanda , na biashara
  • Elimu
  • Afya
Mawazirini political sasa tuwajue wataalawa mambo haya amabo wako karibu na mkuu. Tujue wanasimaia upande ganiwa fani zao.
 
Kweli haya ni maajabu, na inauma sana rohoni, yaani JK ina maana mpaka sasa anataka kutuaminisha kuwa hawajui wamiliki wa Dowans? basi kama ni kweli ina maana nchi inatawaliwa na watu wawili tofauti, that means hana mamlaka halisi ya kutawala
 
Dr.wa ukweli yupo sahihi, nami namuunga mkono,mimi milishangaa sana nilipomsikia huyu Rais JAKALAUNT KIKWEBAGBO,eti anaunda tume, ambayo itawajibika kwanani,kama si kwake.Huyu jamaa tumsamee bure maana sijui huwa washauri wake ndo hao wenye degree,master and PHD feki,i real don.
katiba ni ya Watanzania ,serikali inatakiwa tu ishirikishwe kama mdau mojawapo mkuu lakini sio kuunda Tume.
shime watanzania msikubali hiki ni kiini macho.Hivi katika hali ya kawaida mtu aliye tuhumiwa na DR.hosea kuwa anawalinda mafisadi kweli anaweza kuweka mazingira huru ya uundwaji wa katiba? ambayo anajua itambana pindi ikipitishwa?.
HAPA NDIPO NAKUMBUKA WINBO WA KIUNAHARAKATI WA MRISHO MPOTO,na kujiuliza je kweli viongozi hao hao wa chama kile kile waliotenda hayo wanadhubutu kutuaminisha umma kuwa wanahitaji katiba mpya? kwa maslahi ya nani? wameshatosheka kula wao ndugu, jamaa na marafiki zao, labda wamemrudia MUUMBA wao.otherwise hiki ni kiini macho.ngoja tusuburi tuone huyu msanii wetu,albam yake hiyo ya katiba mpya itakuwa na nyimbo gani,vina mistari na chorus aina gani?

 
Huu ndio ujumbe na tafsiri ya ;kasi zaidi,hari zaidi na nguvu zaidi,
tegemeeni mabaya zaidi kabla hajamaliza muda wake,


eeemungu uliye juu tusaidie tanganyika yatu irudie maadili ya wazee wetu
 
Dr. Slaa bado nitakuita man of the year,

Hili sakata linajulikana na wengi ndani ya CCM lakini walisita kujitokeza wazi kulikemea, ila tunakoelekea ukizingatia na machungu ya ongezeko la gharama za umeme wataliweka wazi, walio karibu na SS na Mwakyembe wanaweza kutueleza zaidi. Kama rais anahusishwa na kashfa kubwa kama hii kwa nchi masikini kama yetu hata kama haijathibitishwa ni embarrassment kubwa kwake.

Wabunge wa upinzani mnafika 20% kama kanuni inavyosema ni kiasi cha kupeleka hoja bungeni ya kutokuwa na imani naye ijadiliwe hata kama wakati wa kupiga kura utakapofika msifikishe hiyo two third ya kura still mtakuwa mmewaonyesha watanzania nia yenu ilikuwa nini and he will not be the same again hiyo move itakuwa sawa na mwendelezo wa walkout. Kuna mtu alisema simkumbuki JK hatamaliza kipindi chake i think he might be true.
 
Ari zaidi,nguvu zaidi na kasi zaidi
hii ndio maana ya yanayotokea sasa na kuna mabaya zaidi tunayategemea

eee mungu uliye juu zaidi ya vyote utusaidie tanganyika tujitambue mapema kwa ujumla wetu tupate ukombozi wa kweli
 
Mi najiuliza hivi ni lini mkwere ataamka na kufanya maamuzi mazito peke yake kama viongozi waliotangulia? Mbona Mkapa yeye alifanya ubunifu katuachia kiwanja kizuri cha football!!!
Hivi vi miradi vidogo vidogo vya umeme kama Kinyerezi (MW 240) Somanga Fungu (MW 230), Mtwara (MW 300). Kiwira MW 200 na umeme wa upepo singida. Hivi ndo vinazidi kuongeza upenyo wa ufisadi maana hapa lazima majenereta feki yaendelee kununuliwa. Kuna baadhi ya viongozi tayari wana hisa kwenye hivi vimiradi kama vile mwakyembe ana hisa kwenye mradi wa umeme wa upepo singida. Sasa najiuliza kwa hali hii si tayari viongozi washafanya hii miradi ya umeme kua ni sehemu yao ya kula??
Kwa nini asijenge mradi mkubwa
kama ule wa Stigler`s Gorge
ambao utamaliza shida zote?
 
 
 
Whatever it is! this is a starting point.. you never know some people might bring evidence, but is a good start.... we shake him , others will fall down!


Kwa strategy hii issue nzima, issue nzima imekuwa dead on arrival. Mwishowe mropokaji atajulikana.... na wananchi tutampiga chini jumla.

JF ushabiki umezidi hata watu wanasahau kwamba hii ni political game. Deep down Slaa anajua ukweli halisi.
 

Dar es Salaam be consistent in putting your points. Eleza kama siyo kweli kuwa ni serikali ya JK ndiyo iliasisi na kuendeleza kashfa ya Richmond na Dowans. Eleza kama si kweli mkataba mbaya kabisa wa kwanza wa IPTL haukusainiwa na JK akiwa waziri wa madini na nishati? Eleza kama si JK ndiye aliyesaini mikataba ya uchimbaji madini na makampuni ya Sutton Resources kule Bulyanhulu na Afrika Mashariki kule Nyamongo Tarime, halafu leo kwa nia ya kujifanya yeye ni mtu mzuri kwa watanzania, anasema mikataba ya madini siyo mizuri. Eleza kama si chini ya serikali ya JK, makandarasi wa mataifa ya nje wa kuchimba dhahabu katika migodi karibu yote ya Tanzania wameondolewa na kazi hiyo kupewa kampuni ya rafiki yake RA (Caspian) kwa kisingizio kuwa ni kampuni ya kitanzania.

Au umeamua kuwa mtu uliyeamua kufumba macho na masikio, na kuendelea kuimba wimbo wa JK na CCM ni nzuri hata kama wakifanya uchafu wa kila aina. Mazuri machache waliyofanya J na CCM hayalingani maovu mengi waliyoyafanya dhidi ya Watanzania. Fikiria ustawi wa Taifa kwa vizazi vya sasa na vya kesho kuliko kuweka ushabiki usikokuwa na cha kuegemea.
 

Waarabu kama Dar Es salaam huwa hawalipi kodi.
 


Hamna sababu ya kusubiri CCM waunge mkono ni kupeleka hoja then waikatae, wakiikataa tunapeleka kwa wananchi, ila hofu yangu ni CCM -B watakubali?
 
Hamna sababu ya kusubiri CCM waunge mkono ni kupeleka hoja then waikatae, wakiikataa tunapeleka kwa wananchi, ila hofu yangu ni CCM -B watakubali?

Mkuu kuwa mwangalifu na statement ya Dr Slaa. Kama umesoma vizuri gazeti la Tanzania Daima hakusema mwenye Dowans ni JK bali kasema ni sehemu ya Dowans sasa tuweni waangalifu na statement hizi. Nilikuwapo!!!
 
kesi za uchaguzi zitapigwa danadana weeeeeee MPAKA BASIII maana wanajua uchaguzi wa jimbo lolote ukirudiwa CHADEMA HAWAKAWII KUMtUmBUKIZA slaa BUNGEN........BUNGE LA SAFARI HII NI TAMUUUUUU MPAKA BASIIIII MAANA KUNA VIJANA WAMEINGIA NDAN KWA KUPIGWAAAAA NA POLISI WEEEEEE MPAKA BASIIIII......KILA KITUO WANAKIJUA NA HAWAOGOPI KULALA NDAN...SIJUI KAMA WATAOGOPA KUPIGANA NA WENZAO WA CCM WASIO NA MIKONO.....NA VILE VITI KAMA WACHINA HAWAJAVIFUNGA VIZURI VITANG'OLEWA APIGWE MTU KICHWAN MAANA KUNA WABUNGE WA CCM WANAMIDOMO MNO
 


Kanisa lipi?

Juha mkubwa wewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…