Mwana va Mutwa JF-Expert Member Joined Jun 9, 2009 Posts 460 Reaction score 54 Sep 1, 2009 #21 Mchukia Fisadi said: Join Date: Sun Aug 2009 Posts: 6 Thanks: 6 Thanked 1 Time in 1 Post Rep Power: 0 Mhhhhhhh lugha mbaya! Pamoja na ugeni wako hapa hatuongei kwa hasira hivi. Tulia sema kwa lugha nzuri utaeleweka. Click to expand... wageni huwa hawaongei hivyo mkuu,ni wenyeji tu ila majina bwenaaaaaaa
Mchukia Fisadi said: Join Date: Sun Aug 2009 Posts: 6 Thanks: 6 Thanked 1 Time in 1 Post Rep Power: 0 Mhhhhhhh lugha mbaya! Pamoja na ugeni wako hapa hatuongei kwa hasira hivi. Tulia sema kwa lugha nzuri utaeleweka. Click to expand... wageni huwa hawaongei hivyo mkuu,ni wenyeji tu ila majina bwenaaaaaaa
JoJiPoJi JF-Expert Member Joined Aug 8, 2009 Posts 2,935 Reaction score 3,346 Sep 1, 2009 #22 ila kwa mtizamo wangu kama Dr. Slaa atagombea na Hamad Rashid atakuwa mgombea mwenza itasaidia kupata kura nyingi kwa kuwa wote wanakubalika kutokana na misimamo yao thabiti katika kutetea watanzania
ila kwa mtizamo wangu kama Dr. Slaa atagombea na Hamad Rashid atakuwa mgombea mwenza itasaidia kupata kura nyingi kwa kuwa wote wanakubalika kutokana na misimamo yao thabiti katika kutetea watanzania